Recent content by kwetumasoko

  1. kwetumasoko

    Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Wana MMU, heshima kwenu. Nahitaji mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha (Ndoa) mwenye kujiheshimu na kumcha Mungu. Awe na umri usiopungua miaka 40 mwenye kazi halali inayomuingizia kipato, kabila lolote na awe mkristo. Itapendeza asiwe na mtoto zaidi ya mmoja. Awe tayari kupima afya. Umri...
  2. kwetumasoko

    Upi mtazamo wako kuhusu idadi ya watoto wa kuzaa kwa maisha ya sasa?

    Anajaribu kubet huenda anaweza kutokea mmoja akawa na maisha ya nafuu mbeleni
  3. kwetumasoko

    Huna haja ya kuniomba msamaha, ushamba wako ndio uliokuponza.

    Ila mkuu, we ni balaa. Yaani unao mpaka wateme ndoano. Nawaona wanavyochungulia nyuzi zako vile.
  4. kwetumasoko

    Ameacha kutoa pesa ya matunzo kwa mtoto baada ya ku-hack simu yangu na kukuta chatting WhatsApp za HR wangu

    Upande wangu, huwa sipo tayari watoto wawe mbali nami ningali hai. Mfano halisi kwangu.
  5. kwetumasoko

    Ameacha kutoa pesa ya matunzo kwa mtoto baada ya ku-hack simu yangu na kukuta chatting WhatsApp za HR wangu

    Hapana, usifanye hivo. Hata hivo kwa ME kwa nini mtoto wako upeleke kwa mwingine kukulelea? Mimi siwezi fanya ujinga huo kama BABA
  6. kwetumasoko

    Siku niliyoacha kulala kwenye nyumba za wanawake

    Mwanaume hafumaniwi, mwanaume anakutwa.
  7. kwetumasoko

    Nina miaka 45, nimependwa na mwanaume wa 38

    Umri hauna shida, kikubwa ni maelewano tu.
  8. kwetumasoko

    Kwanini wanaume hawapendi kuoa experienced woman?

    Mwanamke gani yaani kila kitu yeye anajua na kila tukio yeye mbele. Yaani ukiwa na mwanamke wa aina hiyo wewe hesabu siku zako za kuishi duniani ni fupi!
  9. kwetumasoko

    Kwanini wanaume hawapendi kuoa experienced woman?

    Sometimes wanawake wajuaji, kaa nao mbali. Mfano asilimia kubwa ya wanaharakati wanawake, hawapo katika ndoa.
Back
Top Bottom