Recent content by kwetu

  1. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    Wewe naona ni mgonjwa wa akili maana unadhani kila aingiaye hapa ni fisadi. Labda na wewe una matatizo kamwone daktari lakini hata hapa tunao madaktari wa ugonjwa wako njoo tukupeleke muhimbili.
  2. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    Labda kwa fikra zako. Lakini haifuti ukweli wa mambo. Rudi nyumbani tufanye kazi ulaya kwa wazungu mnakuwa watumwa wa wazungu bora sisi watumwa wa waafrika wenzetu pamoja na umaskini wetu. Mcheza kwao hutunzwa nyie huko vipi
  3. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    Disorders zipi kakaaaaaa. Nadhani hiyo ya kwenu ni disorder kubwa zaidi mnaogopa kurudi bongo maana wengine mlizamia mtabaki kuandika kwenye jumboforums tu maana hamuwezi kuja bongo, kupata tena visa ya kurudi ulaya au marekani noma ndio maana hasira zenu mnamalizia kwenye kuandika. Andikeni...
  4. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    MMEPATA UKUMYA KAMA WA MKAPA UKWELI UNAUUMA EHE KWA KWA KWI KWI POLENI NA KARIBUNI TENA LAKINI MSIWE NA HASIRA MKIAMBIWA UKWELI KWANI HATUWEZI WOTE KUWA NA AKILI SAWA VINGINEVYO DUNIA ISINGEENDELEA. MKITAKA KUJA TUFAHAMISHENI TUWAPOKEE BONGO YETU HII TUACHIENI LA SIVYO RUDINI TUUNGANE...
  5. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    nimekwambia karibu kaka/dada yangu ukatusaidie sie wazalendo. Cheti muhimu ndugu yangu dunia ya leo sio cheti tu bali umepasije? utampindua nani kikwete? karibu 2010 basi ili tuone makali yako. Sawa wataamua walioko ndani sio nyie maana mkija mtakuwa wageni hivyo jaribuni kurudi mapema ili...
  6. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    Hasira ipi kaka/dada yangu umekasirika poleni lakini lazima tuwaambie ukweli nyie ndio wajinga lakini pia ni wapumbavu maana mjinga unaweza kumwelimisha mpumbavu ni sawa kupiga gitaa kwa mbuzi.
  7. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    nani huyo ndugu yangu umekosa hoja jibu sali ni kweli si kweli nyie mnasoma miaka nenda rudi hamhitimu sasa wajinga sisi watanzania tulioko bongo au nyie? leave that rat chenge out of tthis please na jibu swali. Kusoma kweli ulaya kusiwafanye mkabwatuka na kutuita sisi ambao tuna henya hapa...
  8. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    Karibuni na mkija mtupe taarifa tuwapokee ili mtusaidie basi katika hili lakini mje na vyeti hicho ndio cha muhimu maana kama hmna vyeti hamtatusaidia inakuaje unasoma mika 10 huhitimu lazima uwe kihiyo bwana tafadhali
  9. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    na wewe ni mwosha masufuria pia? au ni mmoja wa waliozamia mtoni ambao mmesoma mika tisa bila kupata cheti? wanasema sema mwenyewe kama mganga wa kienyeji ehe leta story lini unarudi na wewe ili tusaidiane kupambana sio na ufisadi tu bali na hata jinsi maisha yalivyo kuwa magumu,
  10. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    vipi ndio mana nilisema hii forum ni wazamiaji ukajidai kupata kikohozi namshukuru aliyeweka bayana somo hili ni mwenzenu ambaye karudi baada ya maisha ya mtoni kumshinda angalau kakubali kuja kuitumikia nchi yake japo ni maskini nyie mnaambulia kungalia magorofa na magari mazuri tu hamna...
  11. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    malizia tu usihofu kuweka viji.........
  12. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    Mimi sisubiri 2010 kama wewe na wala sina haja kwani sina sababu ila mnaniudhi mnapotuita wajinga wakati nyie mmekimbia nchi huyo fisadi chenge na wengine wala hawanitishii amani anawatisha nyie mlioko ulaya sisi wabongo tutapambana naye hapa kwa karibu, je wewe utafanya nini kupambana nae ndio...
  13. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    How can u fight mafisadi ukiwa mtoni? rudi rudi acha hasira za pweza. Kuosha masufuria sio profession maliza kusoma ili uje kwa pamoja tupambane na mafisadi lakini kwa sasa huna jipya siendi popote niko nyumbani hata kama ni maskini lakini sijakimbia matatizo ya nyumbani kama wewe., Kukimbia...
  14. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    unajua ni leo yu tulikuwa tumekaa mtu akawa anaelezee juu ya hii forum ndio mtu mmoja akatuambia kuwa ni wazamiaji walishindwa maisha na mimi nilitaka tu kuthibitisha na wewe umenithibitishia. kwa kwa tehe tehe
  15. K

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    kweli nimeamini nyie ni wazamiaji tu sasa mbona unabwata ndugu yangu we rudi tu ili upambane na hao mafisadi huko ulaya husaiidii kitu kama una uchungu na nchi yaako rudi umalize mambo acha kuosha masufuria na kutandika vitanda na kulea vizee vya kizungu
Back
Top Bottom