Kilicho chepesi hukimbiliwa na wengi. Lakn pia vyuo vyepesi vinamigomo mingi ya kichoko sababu watu wake hawana cha kufanya ni kupenzika tu. Sua hilo halipo maana imejaa wanasayansi na muda wote ni kazi kazi. Karibuni mjionee.
Kari
karibu sua, tuone kama kuna kozi utapata Zaid hata ya 20, hk science na science ni more applicable. Komaeni na kozi zenu za kimahaba zisizomfanya mtu akue kifikra. Njoo ujionee utadisco wewe
Chovya
Chovyachovya huendelezwa mpaka kwenye ndoa, nani anapenda aone mtu wake yupo na mwingne af ajue kuwa awali alikuwaga naye? Kuepuka hili mwanaume au mwanamke aishi na mtu anayemfahamu vyema
Kwa nyongeza, ndoa zinazodumu ni zile ambazo mwanamke aliolewa akiwa bado na usichana wake, au aliyemuoa ndiye alimfunguaga njia. Siyo umepigwa chata na madume 99 af mm nikuoe na tudumu. Mtoa mada hajakosea.
Milele haitowezekana, copy haiwezi kuwa sawa na original. Wao walinyofolewa kwa mwanaume, sasa watakuwaje sawa na mwanaume? Elimu isiwaponze, wawe wanyenyekevu tu
Wanajisahau kwamba walitolewa kwa mwanaume, tena ubavu wa kushoto, upande dhaifu. Wakipata elimu tu wanataka wawe juu ya mume, wanasahau kwamba kichwa cha mwanamke ni mwanaume. Wao ni wa kukaa ndani vidume ndio wa kula kwa jasho. Hakuna mwanaume anayependa kuwa chini ya mwanamke, elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.