Recent content by Kwemike

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wakati akiwa Korokoroni, DC Hai amnyang'anya Mbowe ofisi ya ubunge

    Jamaa mshamba anatafuta kiki kijinga Fanya kazi sio ujinga wa kutesa watu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea: Sina mpango wa kuondoka CHADEMA

    Hii business ya utumwa vipi mbona viti maalum hawaungi mkono juhudi za jiwe .saed well said hizi deal zao zinaangamiza taifa sio chadema katu usikubali kununuliwa kama vitisho umeshapewa sana
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali

    Wekeni uchaguzi huru then ndio mtajuwa ccm IPO vipi Chadema IPO bora sana kuliko wakati wowote
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali

    Duu kweli akili ni Mali .sasa slaa alifukuzwa chadema au alinunuliwa mapema .CCM alishakufa that why inatumia vyombo vyote vya ulinzi plus tume ya uchaguzi kwenye chaguzi zote
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Prof. Kabudi ni bingwa wa kuchapia, hasa kwa watu wasiomuelewa au walio wavivu wa kusoma au wenye uelewa wa juu juu

    Mungu akupe MAISHA marefu lissu maana utawala huu mambo mengi ya ajabu wanapindisha sana sheria kumlinda jiwe
  6. K

    JamiiForums Tanzania Polepole unakiharibu chama. Mwenyekiti wa Kijiji akana kuhamia CCM asema alilazimishwa

    Kazi kweli kweli.But the time will tell
Back
Top Bottom