A 154,000 SQUARE METRE (37 ACRES) PLOT IS FOR SALE IN ARUSHA
Location: Themi Ya Simba Arusha, about 28 KM from Arusha City Centre
Document: Title Deed (Attached)
Price: TZS. 2.8 Billion ( USD 1.5 Milion) (Negotiable)
Contacts: +255 788 893364
tinogobba2002@yahoo.com
NOTE:
A soft...
Jambo gani la kijinga aliofanya Gwajima? Kumuita MAPENGO mpuuzi wakati ni mpuuzi kweli kuna tatizo gani? Mapengo mpuuzi, aliwa-snitch wenzake wakati walishakubaliana kuhusu msimamo wao kuhusu Katiba, na Gwajima kafanikiwa kwani Mahakama ya Kadhi tumeichinjia mbali
Magaidi wote walilaaniwa kama nyie....hao wasomali hawana msosi na nchi yao haitawaliki...nendeni mkaishi huko, tutoleeni ushetani wenu fisi nyie....Na ole wenu tuwajue....Mtapotea katika uso wa nchi
Hehehehehee...POLENI SANA WAKUU. Mimi nilianzaga ku-bet mwaka 98, nimeacha mwaka juzi. Tafuta mtu yeyote aliekuja kupata utajiri kwa njia ya kubet, tangu dunia ianzishwe...Ila, mnaweza kubahatisha kubet bila kutumia odds, nendeni www.footballpools.com
Napata shida kuelewa ufahamu wa watu ambao wanafikiria kwa kutumia makalio. Kuna watu ambao kazi yao ni kuandamana tu pale ambapo wapalestina wakiwa wanapewa kichapo na Waisrael, ndugu zao wa Africa Mashariki wanauawa wanajidai hawajui kinachoendelea. Angalia watu wanavyomtetea Gaddafi, utadhani...
Huyo anaelalamika kwamba Gwajima katembea na Flora Mbasha ana ushahidi gani? Alafu, hata kama ni kweli, yeye inamuhusu nini? Au anaona Flora anafaidi sana?Itakuwa alitaka Gwajima atembee na yeye. Sisi tunaongelea masuala ya kiutu uzima na yenye maana ambayo ni katiba na mahakama ya kadhi...kama...
3 HOUSES FOR SALE
3 Houses are for sale in Sala Sala Wazo Hill Ward.
Located next to each other.
Just 200 meters from Tarmac Sala Sala Road
Each house has;
Plot size 900 square meters
House size 200 square meters
1 master bedroom, 2 bedrooms,
kitchen,
living room,
public...
3 HOUSES FOR SALE
3 Houses are for sale in Sala Sala Wazo Hill Ward.
Located next to each other.
Just 200 meters from Tarmac Sala Sala Road
Each house has;
Plot size 900 square meters
House size 200 square meters
1 master bedroom, 2 bedrooms,
kitchen,
living room,
public...
Huyo Mengi ni maku tuuu....zee zima la miaka 80 linakuwa ngese ngese, yeye mambo ya siasa yanamuhusu nini? Mnaosema anapigania maslahi ya nchi, ameshawahi kuwapa hata shilingi? hela zote anazozipigania i zake na yule mjukuu wake aliemtotoresha mapacha. kila siku yeye tu ndo anawashwa washwa
NYUMBA & FLAME ZA BIASHARA ZINAUZWA BOKO MAIN ROAD Eneo lenye ukubwa wa 86m kwa 36m, lipo BOKO barabarani kabisa (MAIN ROAD), lina nyumba 4 zenye specifications zifuatazo; MAIN HOUSE: 4 Bedrooms (2 Master bedroms) HOUSE 2: 3 Bedrooms (1 Master bedroom) HOUSE 3: 3 Bedrooms (1 Master bedroom)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.