Recent content by kweeani

  1. kweeani

    Ananishawishi sana kuingia kwenye QNET mpaka anakera!

    Hivi bado tu ipogo hiyo Qnet nikajua imeshafungwa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kweeani

    Serikali yapiga marufuku mazao ya uhandisijeni(GMOs) nchini

    Tanzania hatujafikia hatua ya kwenda kwa GMOs, there are interest behind GMO, the use of improved varieties ni chini ya 30%. Still there are other avenues to improve our productivity. Matumizi ya mbolea, mbegu bora na Kilimo cha umwagiliaji bado tuko chini ya 30%. GMO ina agenda behind...
  3. kweeani

    Hivi nani atakuja Kuwa rais wa awamu ya 6 mwaka 2025??

    Bashite ndo atakuwa presidaa wa 6. Mark my words.
  4. kweeani

    Waliomteka Mo Dewji walikuwa 'Well Organised, well informed , financially stable and highly committed'…

    Mboba Daudi Albert Bashite ambaye ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama amesema Mo amepatikana na waliomteka wameiwa nguvuni nimemsikia vibaya
  5. kweeani

    Gari la mfanyakazi CRDB Moshi lakamatwa na polisi, wadai ni la wizi

    Hata ulaya iliendelea baada ya kuwaibia waafrica, I salute my fellow chagga papaa big up sana.
  6. kweeani

    Barabara ya Simiyu - Mbulu hadi Arusha kujengwa kwa lami

    Gasa lama kan lay kweeder amu. Hiyo mpk 2024 labda siyo ishu ya Leo. Nimemsikia jiwe akisema tuhamie huko kigoma, mpanda hadi tabora
  7. kweeani

    Rais Magufuli anajishusha sana kwenye jukwaa la kimataifa. BBC wamchapisha suala la uzazi wa mpango!

    In Europe the population is kept low because they intensify the available labour force in terms of technology development. In Africa particularly Tanzania, Mr. President is right because we are too mechanical and very low or no IQ. Zero brains
  8. kweeani

    Wanafunzi wa ADVANCE 107 wakiume kufukuzwa shule..

    Sasa ishu yenyewe hujaielewa vizuri harakaharaka umekimbilia jf. Kah kweli hii nchi inaendeshwa kwa kasi sana.
  9. kweeani

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Presentation lazima zifanane mkuu si unakaririshwa. Yaani kwa mazuzu ile imeshageuka sala ya baba yetu. Sasa ndo naanza kuielewa Tz. Aise kuna mtu aliwahi kusema zaidi ya 60% ya watz wama IQ ndogo hata kama sijaona methodology ya utafiti yake circumstantial evidence inatosha kuprove that...
  10. kweeani

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Man city eti. Mbona hiyo picha ya man city tumeshaichoka. ***** zenu, mje mdhamini Yanga basi. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kweeani

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    We hamna unachojua ndugu yangu, umeshapigwa basi we tafuta liboya kalibamize na wewe uanze kurudisha taratibu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kweeani

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Keshapigwa huyu, tayari wa kumsaidia a jitokeze jaman aisije akajinyonga walau apate hata robo ya hela siyo mbaya Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kweeani

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Mkuu muda ulishapita. From January mpk Leo. Alisema March atakuwa na mihela. Mpk Leo hana hata mia. Kingine. Hata angepata kweli mm nikiwa na akili zangu timamu, over my dead body sitakaa nijiunge na huu ujinga. Never!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom