Recent content by Kwediduli

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu PIXIE ORANGES

    Hayo yanawahishwa kuchumwa wakati ni mabichi. Wanayapepea kwenye tanuri ili yaivishwe kwa mvuke wa moto. Hivyo kwa nje linaonekana na rangi ya njano lakini ukimenya na kulila linakuwa na uchachu. Pia kuhusu kukuta chungwa liko kama sponji ni kuwa linakuwa limekata maji kwa kuwa limekaa sana...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Unaweza kutengeneza zaidi ya Milion 37 kwa hekari 1 kwenye kilimo cha Pixie Oranges

    Pixel orange ndo yale wanayaita chungwa Chen za? Kenya pia wanalima sana pixel orange maeneo ya Makueni.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tujuzane bei za mazao mbalimbali – wakulima, wafanyabiashara na walaji karibu!

    Bei yake huwa ni kiasi gani kwa kawaida?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha maembe ya kisasa

    Njoo Tanga upande Mkonge, utanishukuru.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Kufahamu juu ya kilimo cha Machungwa katika mikoa ya Pwani, Tanga au Morogoro

    Kilimo cha michungwa kina faida sana. Changamkieni furs a.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Miti ya aina ya mitiki inaweza kustawi Wilaya Mufindi?

    Nenda Longuza, Muheza kashuhudie mitiki inavyovunwa.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Machungwa aina ya Valencia walivyopata pesa msimu huu

    Wewe boya kweli. NanI amekwambia kuwa Muheza ni ya wazigua? Kuoa pia ni sehemu ya maendeleo. HuweI kumpangia mtu matumizi ya hela yake.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kilimo cha miti na hasa mitiki

    Tanga
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha miti, hasa Mitiki

  10. K

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kilimo cha miti na hasa mitiki

    Hapo ni mkoa was Tanga.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kilimo cha miti na hasa mitiki

    Hapo labda uuze mirunda.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kilimo cha miti na hasa mitiki

    Hongera sana ingawa miti yako inaonekana kudumaa.
Back
Top Bottom