Recent content by kwe2tu

  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa ESS kwa watumishi

    Mkuu nimepanda mara ya mwisho 2023 kwahiyo mwaka huu nilistahili lkn hiyo ya supervisor sijui kwakweli
  2. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa ESS kwa watumishi

    Mimi ni mojawapo ya mtumishi ambae nimeathiriwa na mfumo huu wa ESS katika upandishaji wa madaraja. Nimejaribu kufatilia je, ni sehemu gani sijaenda sawa hata sioni ninaandaa azimio la kazi ninaandaa andalio la somo ninasaini log book. Ninaandaa zana za kufundishia, ninasaini class journal...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye biashara

    Njoo in box utaonyeshwa mkuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye biashara

    Mashari yao ni magumu lzm uchukue kuanzia milion 100 sasa mimi hii ni kubwa mno kwangu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye biashara

    Wewe ni moja ya mshauri best keep it up. Ila niko na hii biashara mwaka wa sita sasa nimeizoea ninaipenda na naona fahar kwa kazi hii Asant bro
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye biashara

    Uko sawa kidogo bosi. Mkopo nilionao ni wa mshahara means nalipa kupitia mshahara sio biashara ungekuwa mtumishi ungeelewa hii. Ninachotaka ni mkopo wa mkulima ambao baada ya kukuza wanyama nalipa huu ni ule ambao unapewa muda wa miezi sita ndio ulipe
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye biashara

    Unakosea bosi kuomba mkopo sio kosa au kushindwa kuendesha biashara lengo ni kuongeza uzalishaji ili kutosheleza soka la nyama badili mtazamo maana umeandika kwa mbwembwe kweli Soko ni kubwa mtaji mdogo so nahitaji kuongeza uzalishaji sijashindwa kuhudumia. Niko na biashara hii miaka sita na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye biashara

    Mkuu sio kwamba siwezi kulisha niko na hii biashara miaka sita sasa na inaendelea kuomba mkopo au ubia sio kwamba nimeshindwa wafanyabiashara wote wapo hivyo sio kwamba wameshindwa isipokuwa wanataka kuongeza faida zaidi. Narudia tena SIJASHINDWA lengo ni kuongeza uzalishaji na faida.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye biashara

    Asante bosi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye biashara

    Wadau mimi ni mwl nipo jiji la mwanza. Nimwajiriwa lkn najihusisha ktkt biashara za kilimo. Ninaeneo la hekari km mbili na nusu. Nimejenga nyumba ya kawaida kwaajili ya kijana wa kazi pamoja na mabanda ya kuku na nguruwe. Lkn km mnavyojua biashara yeyote inataka mtaji bila mtaji hakuna kitu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mkopo

    Kwa mtumishi ambae amewahi kukopa kwenye Bank ya stanibac atupe uzoefu. Nimetuma maombi ya mkopo leo ni wiki ya pili hamna kitu. Kila ukienda majibu hayaridhi. Je ndo kusema hawana pesa ndio maana wanafanya hivyo au ndio utaratibu wao. Au huwa inachukua muda gani mpk ukapata pesa uliyoomba...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata utaratibu wa hili kutoka Latra

    Samahani waungwana mimi ni dereva bolt nipo Mwanza lkn ninasiku km 30 sijaingi mzigo kwani document yangu moja ya Latra sina. Kwahiyo account imefungwa. Nilitamani kupata uzoefu kidogo kwa ambae amewahi kulipia na akapata latra anisaidie namna wanavyoipata ili hatimae niingie mzigoni maana...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Biashara ya vyakula vya mifugo

    Asante mkuu umenifungua sana
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Biashara ya vyakula vya mifugo

    Nipo mwanza jiji
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Biashara ya vyakula vya mifugo

    Sijaficha bosi nipo mwanza jiji
Back
Top Bottom