Recent content by Kwayu

  1. K

    JamiiForums Tanzania D25 ni mtego mwingine kwa Chinjachinja, asivyo na akili atauvaa kama ulivyo

    Sheikh Sharifu majini alivyokufa kwa risasi tarehe October 29, aliandamania wapi yeye?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama kwenda likizo kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu wakati kuna mrundikano wa mashauri ni matumizi mabaya ya muda

    Lissu anaingiaje hapo mkuu? Mimi nimeizungumzia mahakama kwa ujumla. Haina maana wala mantiki kwa mahakama kwenda likizo kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu wakati mahakimu/majaji huwa wanachukua likizo zao za mwaka. Haya ni matumizi mabaya ya muda na yanawaathiri watumiaji wa huduma za mahakama.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama kwenda likizo kwa zaidi ya mwezi mmoja na nusu wakati kuna mrundikano wa mashauri ni matumizi mabaya ya muda

    Kupitia taarifa kwa umma niliyoambatanisha hapa, Mahakama Kuu itaenda likizo kuanzia jana Desemba 15 - Januari 31, 2026 Muda wote mahakama kwenda likizo ni matumizi mabaya ya muda na ni maumivu kwa watumiaji wa huduma za mahakama. Kuna mrundikano mkubwa wa mashauri ambapo wengine tuna...
  4. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mahakama ya Rufaa Tanzania (CAT), Utaratibu wenu wa Fi'Fo ni wa KIBAGUZI

    Mahakama ya rufaa iweje kesi zilizofunguliwa 2025 zimesikilizwa na kutolewa hukumu wakati sisi wa 2023 bado tuko pending? Wakati hizi mlizotoa hukumu hazikufunguliwa hata kwa hati za dharura?
  5. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mahakama ya Rufaa Tanzania (CAT), Utaratibu wenu wa Fi'Fo ni wa KIBAGUZI

    Sijapigiwa bado boss. Naona hukumu ya mashauri yaliyofunguliwa baada ya langu yanaendelea kutolewa.
  6. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mahakama ya Rufaa Tanzania (CAT), Utaratibu wenu wa Fi'Fo ni wa KIBAGUZI

    Mahakama ya Rufaa Tanzania wamekuwa wakijinasibisha kuwa wanatumia kanuni ya FIFO (First In and First Out) kushughulikia mashauri ya madai mahakamani jambo ambalo si kweli. Nina madai ya rufaa namba 700/2023 ambayo mpaka sasa hata kuwekwa kwenye mfumo wa tehama hayajawekwa, lakini ukiangalia...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu acheni kuwalinda Tigo Pesa

    Hatari sabaa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hiki wanachofanya Tigo siyo utapeli?

    Wahuni sana hawa tigo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hiki wanachofanya Tigo siyo utapeli?

    Inafahamika kwamba kwa sasa tigo Tanzania inamilikiwa na kampuni inayoitwa HONORA TANZANIA PLC, lakini kwenye website au hata kwenye huduma zao kama za bustisha n.k terms and conditions zinasoma bado MIC. Hii imeekaaje kisheria incase wamezingua kwenye tigo pesa huduma ya nivushe ambayo terms...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Treni ya shirika la reli (TRC) inayoenda mikoa ya kaskazini yalaza watu porini

    Treni ya shirika la reli (TRC) inayofanya safari mikoa ya kaskazini yakwama maporini huku abiria wakikosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu. Treni hiyo iliyotoka Dar jana mchana kwenda Arusha ilitarajiwa kuwasili Moshi asubuhi saa 12 leo. Ila mpaka sasa imekwama katikati ya Korogwe na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanamhujumu Rais Samia au nchi imemshinda?

    Sasa shida ni nini mambo hayaendi?
Back
Top Bottom