Recent content by kwanza asiliyetu

  1. kwanza asiliyetu

    JamiiForums Tanzania Rubani wa Helikopta iliyombeba Raisi wa Iran aligoma kutii maelekezo ya kiongozi wa msafara aliyekuwa mbele akasababisha kifo cha Raisi

    Kuna mgongo wazi humu wanaiona kama israel inawapeleka peponi vile
  2. kwanza asiliyetu

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

    Wazanzibar watalalamika sana kuhusu muungano ila alie watia chakani ni mzee karume kwa kuingia na kusaini mikataba mibovu ya muungano kana kwamba alijua ataishi milele.
  3. kwanza asiliyetu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu atakuwa mtu wa aina gani? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

    Ila wewe unachuki sana na yule anko ila hutofanikiwa kuyachafua mazuri yake.
  4. kwanza asiliyetu

    JamiiForums Tanzania Hali yaendelea kuwa Tete Mashariki ya Kati

    Awali nilisema kuhusu Iran ,,sasa imedhihili baada mshambulizi ya kulipa kisasi
  5. kwanza asiliyetu

    JamiiForums Tanzania Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    Mjomba na wewe
  6. kwanza asiliyetu

    JamiiForums Tanzania Hali yaendelea kuwa Tete Mashariki ya Kati

    Akili huna hata macho huna ndiyo maana umeona mavi
  7. kwanza asiliyetu

    JamiiForums Tanzania Hali yaendelea kuwa Tete Mashariki ya Kati

    Kipi ambacho hujakielewa?
  8. kwanza asiliyetu

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata 23 za Tanzania Bara

    Hivi vipengele ndivyo vilitakiwa vifanyiwe marekebisho,imebaki mwaka mmoja tu tufanye uchaguzi mkuu kwa nini tusisubili uchaguzi mkuu na nafasi zao zikashikiliwa kwa muda na makatibu kata ili kuepusha matumizi mabaya ya pesa za uma
  9. kwanza asiliyetu

    JamiiForums Tanzania Hali yaendelea kuwa Tete Mashariki ya Kati

    Vita vinavyoendele mashariki ya kati vinazidi kuchukua Hali tofauti, kwa upande Mmoja Israel pamoja na washirika wake yaani ulaya na marekani Wana Kuna vichwa jinsi gani wataweza kuimaliza vita hii ambayo tayari imeingia mwezi wa tano sasa. Upande mwingine hamas wanao onekana kama hawafanyi...
  10. kwanza asiliyetu

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Marufuku Wamasai kutembea na SIME na RUNGU

    Znz kumetokea shambulizi la wamasai ,je bara Kuna nn ? ugaidi umetokea!?
  11. kwanza asiliyetu

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo soko la Kijichi Temeke Dar es Salaam linaloonekana kama limetelekezwa na mabilioni ya walipa Kodi kufia hapo

    Maajabu hata daladala hazifiki zimeng'ang'ania ccm tu ,sijui diwani na wenyeviti wake wa mitaa wanamaslahi gani na hapo ccm .
  12. kwanza asiliyetu

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo soko la Kijichi Temeke Dar es Salaam linaloonekana kama limetelekezwa na mabilioni ya walipa Kodi kufia hapo

    Ilipelekwa stendi ya mkoa ikadumu mwezi Mmoja ikarudishwa tena stendi ya mtu binafsi mbagala .
  13. kwanza asiliyetu

    JamiiForums Tanzania Baada ya South Africa kushinda Kesi Huko ICJ nchi za Kiarabu zaanza kujipendekeza kwa Palestine, zakutana UN kujadili Hukumu!

    Nafikili hamasi wananguvu sana maana wanapigana na marekani na ulaya nzima
Back
Top Bottom