Recent content by kwamwitongo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Zama zile utapenda sana

    Tuseme ukweli zama zile ilikuwa raha
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zama zile utapenda sana

    kipindi hicho michezo ilikuwa inapendwa hatari.kwa huku kwetu kulikuwa na timu inaitwa tukuyu star au wanyambara weee acha.Nakumbuka kulikuwa na timu inaitwa pamba,meko usifanye mchezo gemu likianza kutandazwa.kuna wachezaji wachache tu nawakumbuka iddi bili lunyamila.sekiloja chambua.george...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Zama zile utapenda sana

    dahhh daahh acha brother yaani ni hatari
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zama zile utapenda sana

    kipindi hicho elimu ilikuwa juu sana.na hali ya kusoma vitabu ilikuwa juu sana siku hizi madogo yanapenda kuangalia luninga mwanzo mwisho.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zama zile utapenda sana

    ahhhh
  6. K

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawana uelewa kuhusu UKIMWI

    mmm we ndio pumba kweli.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Zama zile utapenda sana

    Kipindi cha nyuma au zama zile utapenda jamani. Kwa upande wa redio utapenda sana utasikia habari RTD,utafungulia RFA na hapo utasubiri BBC au sauti ya amerika na mchana redio ujeruman habari zilizopo ni habari na siasa uchambuzi. Wanaochambua siasa ahhh acha utawapenda walikuwa hawafungamani...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kila nikipata Wazo la kutafuta Mali kishirikina roho inagoma

    furaha ulio nayo saizi ni kubwa kuliko ukajiingiza huko.utajuta kuzaliwa.kwa nini baba yako hakutajirika kwani waganga hakuwaona au hakuwahi kuwasikia.walikuwa na uchaji wa Mungu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Acheni Uadui na kila mtu! Hivi nani mzuri kwenu?

    ahhhhh
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa kuongoza kongamano kujadili falsafa ya Hayati Magufuli

    ahhh huyu choka kabisa.sijui nani atamsikiliza
Back
Top Bottom