Recent content by Kwameh

  1. K

    JamiiForums Tanzania Waombolezaji watoa Heshima za Mwisho wa Mwigizaji Grace Mapunda (Tessa) bila kufunguliwa Jeneza

    hata utaratibu wa kufanya misiba ya halaiki kwenye viwanja vya mipira, karimjee, diamond jubilee, utaenda utakufa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

    Alisema amekuja kurekebisha taswira ya Tanzania kwenye jukwaa la kimataifa baada ya kipindi cha giza cha awamu ya tano Yamemshinda.
  3. K

    JamiiForums Tanzania KERO Misafara imekua kero, Raia wanazuiwa muda mrefu kupisha misafara

    Hana lolote, angekuwa hapindishi maneno angelisema hili ndani ya Cabinet ya Kikwete. Au angeleta muswada bungeni wakati wake. What the freak did you do about this freaking traffic disaster when you had the power, when you had the platform, you had access to highest leaders, to parliament, to...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume amuumbua Tulia Ackson kuhusu Mauaji ya kinyama ya Ally Kibao

    Eti "go baba yetu" Kwa nini agoo ? Agoo wapi ? Mtu kauliwa, kikatili ajabu, unasema aende, kwa nini aende ? Imagine huyu light weight, looks like a manican by the way, alikuwa mkufunzi wa sheria UD..... Hiki chuo nacho ni bottom of the barrel in all respects, tunadanganyana tu kukiheshimu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Timu ya uchunguzi wa Makosa makubwa kutoka ofisi ya DCI yatumwa kuchunguza Mauaji ya Ali Kibao wa CHADEMA

    1. Ziwe za kweli 2. Ziwe za uhakika 3. Zifuate taratibu ============ Haya, kwa yule anaemjua Muuaji kwa majina matatu, alikuwepo porini akashuhudia kipigo, kifo, kutupwa - LAKINI YEYE WAKAMWACHA SALAMA - na anajua taratibu za kipolisi na kisheria za kutoa taarifa atoke mbele atusaidie...
  6. K

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana

    Mnyika anasema ametoa taarifa hii ili kama kuna yeyote alikuwepo kwenye basi atoe ushirikiano. Hakuna mtu alikuwepo kwenye basi, zaidi ya mtekwa! Dereva yeye, tingo yeye, abiria yeye. Mnyika amekuwa akipwaya kichwani jinsi miaka yake inavyoongozeka kwenye siasa na uongozi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania KERO Sheria inayompa mamlaka makubwa DPP, kuwa apeleke au asipeleke kesi mahakamani, ni mbaya na inafaa ifutwe

    Ilitungwa makusudi, ndio. Julius Kambarage Nyerere is singlehandedly culpable of this criminal design. Anaitwa Baba wa Taifa for a reason. Kila uovu wa kiutawala wa nchi hii aliusimika mizizi yeye. And he knew better. Nyerere akiwa mwanafunzi Scotland alikuwa mwanachama wa the Fabian...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke: Wawekezaji wanakwepa kuwekeza Tanzania kwa sababu ya msururu wa kodi pamoja na Urasimu

    We couldn"t care less about foreign investors. We have never benefited from them. We don't give a flying fvck about wawekezaji.
  9. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji ndio alimpeleka Abdul kwa Makamu?

    CHADEMA inajitofautisha vipi na historia ndefu na chafu ya kulindana ya CCM ? Kwa nini mwana CHADEMA aliyeleta rushwa nyumbani kwa Lissu analindwa ??? Abduli alileta hela ili Tundu Lissu afanye nini, mbona hasemi ? Ina maana Tundu Lissu angekuwa Rais au kiongozi mkubwa kwenye serikali...
  10. K

    JamiiForums Tanzania KERO Dada yangu amefariki kwa kuishiwa Oxygen baada ya Muhimbili kufosi kumpeleka Mloganzila

    Sijui tunakusaidiaje mtu ambae unasema mwenyewe siku ya dada yako ilikuwa imefika, na hata ufanyeje huwezi kumrudisha. Una li imani kama hilo, unalalamika nini sasa, tunakusaidiaje ?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Raia wakataa Mrembo mwenye asili ya Nigeria kuwania Miss South Africa

    Safi sana. Kwa nini miss South Afrika awe pandikizi la Nigeria ? Check her ethnic background and check it good! South Afrika wanajitambua, wanalinda identity yao, na fursa zao, na maslahi yao, na mali zao kwa umakini na wivu mkali. hakuna mibaharia na mi rejects kukimbia ma failed state...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Israel yavuna ilichopanda, Raia wote watakiwa kusafisha mahandaki ili wakimbilie humo na Mawaziri wapewa simu za satelite

    Hawako kila kona duniani. Sijawahi kuona myahudi huku Peramiho. Myahudi hajiichanganyi hata na Mzungu. Sembuse pimbi wa Afrika. Labda huko duniani kwingine lakini huku nilipo kijijini hatuwajui wanafananaje. Isitoshe, Nyerere aliwafurusha Tanganyika.
  13. K

    JamiiForums Tanzania SGR impacts kwa biashara ya mabasi yaanza kuonekana. Abood Bus kaamua kujiongeza

    Wameshindwa mabasi watawezaje treni ??????? Hazijaanza bado kuhitaji oil change na wheel alignment na bushing replacement... Utasikia wanatafuta mwekezaji wa kuziendesha... Na kwaba vichwa vimepelekwa India kwa scheduled maintanance. Na huko geleji wamekuta foleni ya treni zingine...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Nyerere afukuzwa tena Butiama

    hahahaaaaaaa... eti kwa nini anakubali kuwa apeche alolo wenzake wanakula bata.... Simple answer is, it is not in their DNA. Baba yao hakuwa jambazi. Hawakulelewa kuwa street runners wa dili za baba zao za kupoka na kuuza nchi. Na huwezi kumpa mtaji mleta mada afanye biashara, the first born...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Suleiman Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, Siwa amestaafu

    don't assume kwamba anatumbua watu kwa vile anaona mapungufu.... unampa credit za uongo huyo Siwa kakaa miezi 10, leo kastaafu, alipomteua majuzi alijua anaenda kustaafu in months.... alitaka huyo Siwa aondoke na mafao ya Mkurugenzi Mstaafu... Rais anaigharimisha nchi big time, anafilisi...
Back
Top Bottom