Narudia tena, haiijalishi kiongozi anavunja sheria na katiba kufanya mema, inafaa akemewe maana sisi nii binadamu, huyo kiongozi hatoishi milele. Baada yake atafuata mwingine ambaye huenda akawa anavunja sheria na katiba kufanya ambayo si mazuri, na atatumia msingi wa mtangulizi wake. Huu ndio...
Nilichoandika ndicho umecomment. Yote yameanzia pale. Machawa waliopitiliza walianzia pale watu kupea UDC, ukurugenzi kwa sababu tu ni kusifia. Mambo mengi yameanzia pale ila kwa sababu watu wengi walikuwa wanaona kama utaratibu, sheria hazifuatwii kwa maslahi ya wengi wale wanaoitwa wanyongwe...
Haijalishi unampenda vipi Hayati JPM, lakini ameacha shida kubwa iliyoanza katika utawala wake. Tatizo shida ya sisi Watanzania huwa tunafurahi na hatujali pale sheria, katiba ikivunjwa na mtu tunayedai anatimiza matakwa ya wananchi. Tena tunasema kwamba kufuata utaratibu na sheria...
Kusema kweli ni kwamba hakuna namna upinzani kwa sasa wanaweza kuchukua nchi CCM kwa sasa haiwezi kuruhusu hilo, na wananchi tumelala.
Pia sioni kama chadema kwa sasa kama ina nguvu kama 2015, aina ya siasa za sasa ambazo ccm inawachezea umafia bado hawajazipatia mwarobaini.
Nasemaje, muache kuilaumu serikali na wana ccm kwa kulindana wanachofanya ni ubinadamu. Sasa umamchukuliaje hatua na kumpeleka mahakamani mtu aliyefuja pesa ya serikali bilions kadhaa wakati alikusaidia katika safari yako ya kuwa kiongozo. Huo si ubinadamu au vipi?
Kwa akili hizi ndiyo maana huwa mnajiuliza kwanini wanaokula na kufuja fedha za serikali huko huwa hawafanywi lolote.
Jibu ni fikra kama zako ubinadamu. Kwamba anayebidi awawajibishe kuna mahali walimsaidia katika safari yake, hivyo anafanya kuwasamehe tu au kujifanya hawaoni.
Kuanzia leo...
Inabidi wanasayansi wafanye utafiti tena kwa sababu huenda wakagundua kuwa Watanzia ni specie nyingine na ya kipekee.
Matendo na reasoning ya watanzania ni ya kipekee dunia nzima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.