Niwapongeze NMB kwa jitihada zenu za kuanzisha uzi huu kwa ajili ya kuwasiliana na wateja wenu. Kwa kipindi kirefu sasa kwa wakazi wa maeneo ya Tangi Bovu, Goigi, Mbezi Beach Shule pindi tunapohitaji huduma zenu inatulazimu kupanda gari hadi Africana kwa ajili ya kufuata huduma hizo. Je hamuoni...
Duh pole sana kijana. Katika hali ya kawaida huyo jamaa ni mstaarabu sana. jambo la msingi unalopaswa kufanya ni kukata kabisa mawasiliano na huyo mwanamke haijalishi ataendelea kukusumbua kiasi gani maana ukirudia tena mwaisho wako utakuwa mbaya sana. Wake za watu wachungu sana.[It is not...
Duh pole sana kijana. Katika hali ya kawaida huyo jamaa ni mstaarabu sana. jambo la msingi unalopaswa kufanya ni kukata kabisa mawasiliano na huyo mwanamke haijalishi ataendelea kukusumbua kiasi gani maana ukirudia tena mwaisho wako utakuwa mbaya sana. Wake za watu wachungu sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.