Miss strong wew kama ni mdada hujui huwa tunajickije wanaume pindi mdada anapojiachia wazi...mi nikija kwako upaja wangu iko nje utafeel kitu keel?..ki fupi najua kinachonipeleka church ila Gao wanaovaa uchi waulize wanajua wako WaPo,,pengne wao wanajua WaPo club kumbe wamewrong way.
Nimekuwa nikiexperience akinadada hasa hawa wanaojifanya globalization walitunga wao,wanapokuja ibaadani wanavaa nguo ambazo cc waumini wa kiume zinatupoteza mwelekeo ibaadani..utakuta mdada anakuja church kwanza amechelewa then viti(nafasi ya kukaa)vya akina mama vimejaa hvyo analazimika kukaa...
We Segwanga mambo kama huyawezi potezea sio kila k2 uchangie.ulitaka aje kwenu aulizie? Bac mwelekeze ni wapi atapata mke kama alivyoomba.JF ni sehemu yeny wa2 wa kila aina,acha wenye busara zao wamsaidie au m2mie namba ya ndg yako yeyote asiyekuwa na mwelekeo akusaidieni.
Punguza ujuaji.mke...
Mi sidhan kama ni kweli..maana ndugu yangu kaoa moshi kwa mbuzi,blanket na laki1..
Ila huyu jamaa inaonekana kajitambulisha kama billgate ndo wanataka kuthibitisha..KAMA KWELI ANAMPENDA ATA...)
ungekuwa mtaani kwe2 ungeweza kusimulia umekutana na watoto wakali? maana kila cku nafokewa na watoto tena ni majeuri vbaya mno....hata wa miaka 5 ni mkali
Kukopeshana kupo ila mwenza anaekopesha atazame yafuatayo;
1.mpenzie anakazi ijakayomfanya alipe deni? Au ni goalkeeper atalipa deni thru ganji za fedha ya mboga unayomwachia?(Hao ni akina dada wakopaji)
2.mwenza anatabia ya utapeli? Na hzo fedha ni kwa kazi gani?..ukijua hayo unaruhusiwa...
Huyu jamaa nasikia ni kati ya walimu waliochangia kufeli kwa watahiniwa mwaka jana...MI CJAMUELEWA LABDA WENZANGU MNITAFSRIE..maada yake inaonekana ni nzuri.
Tafsri halisi ya neno MAHARI ni ipi?;
Kama ni zawadi kwa mzazi aliyekuzalia mke,mbona jamii zetu zinakupangia kiasi cha kutoa?..na 2juavyo wabongo zawadi ni zawadi hata neno AHSANTE linatosha kukupatia mke...Wengine wakikimbiwa na wake zao wanaenda kudai mahari yao ukweni.
Then,kwann wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.