Kama unataka wanao waishi kwaamani hapa duniani achana na tamaa... Tamaa yako mwenyewe itakuharibia watoto wako..
Kumbuka MWANAMKE MPUMBAVU HUBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE..
fikiria kwa makini hapo nilipo andika kwa herufi kubwa.. kama huelewi omba Mungu akueleweshe utakuja...
UKIENDELEA KUSHUPAZA SHINGO NA UKAENDELEZA MAWASILIANO NAE.. IPO SIKU UTAKUJA KUSEMA YALAITI NINGEJUA NINGEKATA MAWASIKIANO NAE KABISA...WANAWAKE HAMUELEWAGI CHOCHOTE MPAKA SIKU YA KUKUTE NDIO UTAELEWA SOMO
Siku unataka kujua uhalali wa mzazi wa mtoto kwa familia ya kigogo jiandae kukaa jela mpaka umri wako wa kufa ufike... Au uwezo wa kumbukumbu upungue.... Vigogo hawapendagi aibu za kijinga jinga.. hata kama anajua sio wake yeye anafunga tuu macho ilimradi huduma ipo vizuri
Mimi mwenyewe na shangaa na kila mtu ananishangaa nimewezaje , na amani inatawala kabisa kama hakuna kilichotokea, ila nikitaka kuwatelekeza moyo na nafsi vinagoma kabisa kabisa.. nimejaribu mara kadhaa nimeshindwa kabisa kufanya hivyo
Naandika kwa uchungu sana..
Yapata muda mrefu sana nilikua na mpenzi wangu na nilitarajia kumuoa hivi karibuni, ila kabla ya kuoana tulikua tunatafuta mtoto na nilitoa unabii mtoto wa kwanza atakua ni wakike na kweli kawa wa kike kama nilivyo nena..
Kilichotokea ni hivi mahusiano yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.