Recent content by Kutitu

  1. K

    Tanzania yateng’eneza meli

    Kuteng'eneza ni kiswahili?
  2. K

    Mwisho wa waandishi uchwara na makanjanja umewadia

    ..muelezee hajui kozi ni moja, Kama vile upolisi wapo ambao baadae wanakuwa trafiki, wanafundishwa darasa moja inategemeana mhitimy atajikita wapi
  3. K

    Simu milioni 30 hatarini kuzimwa kwa kukosa usajili wa alama za vidole

    Lakini tulipo Sasa watz 70% wa Vyeti vya RITA kuliko NIDA ni watz wachache wanavyo
  4. K

    Simu milioni 30 hatarini kuzimwa kwa kukosa usajili wa alama za vidole

    Soma comment yangu #24 , mkuu. Vyeti vya kuzaliwa navyo ni feki?
  5. K

    Dar ni mji mchafu sana kale kaharufu kama mzoga huko barabarani

    Jamani mtuache watu wa dar, Mara kunanuka, Mara wanaume wa dar, jmn mtuache na shombo yetu ya bahari😁
  6. K

    Mtazamo: Kauli ya Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, James Kilaba kuhusu laini za simu zisizosajiliwa ilivyojichanganya

    Ushimen, Miamala ya simu ktk line million 30 itakuwaje? Au ndio kufa kufaana kwamba taasisi za kifedha waturudishe kwenye kupanga folen
  7. K

    Simu milioni 30 hatarini kuzimwa kwa kukosa usajili wa alama za vidole

    Ndio wanaona suluhisho. Wangefanya hivi vigezo usajili, kila mtanzania alieyefikisha 18yrs, aende na cheti Cha kuzaliwa, barua ya mtendaji, ikiwezekana vyeti vya shule, kwa ambao hawana vyeti vya kuzaliwa walazimike kubeba vyeti vya wazazi wao kuthibitisha ni watz, hii ni kwa sababu watz...
  8. K

    Simu milioni 30 hatarini kuzimwa kwa kukosa usajili wa alama za vidole

    Yani mkuu ulikuwa kichwani mwangu, nachelea kusema kwamba si wabunifu, wathubutu, Sasa mnyonge afanyaje Kama wahusika wanalalamika hawatafuti suluhisho
  9. K

    Simu milioni 30 hatarini kuzimwa kwa kukosa usajili wa alama za vidole

    Waafrika tuna matatizo. Inapaswa kuwa wabunifu zaidi, haiwezekani line milioni 30 zipoteze mapato serikalini na kampuni za simu. Hata wenye dhamana na sekta hii wangekaa na wadau wa mawasiliano na kuhusishwa serikali za mtaa je tutumie mbinu ipi tusajili line bila usumbufu. Wenzetu nchi...
  10. K

    Simu milioni 30 hatarini kuzimwa kwa kukosa usajili wa alama za vidole

    Taratibu inayolazimisha kwamba ili usajiliwe uwe na NIDA haina maana, fingerprint ilikuwa usajili tosha kwa mmlik wa siku kwani duniani Kuna zaidi ya watu billion Saba, lakini kila mmoja ana utambulisho wake wa alama ya dole gumba 'fingerprint'. Suala mtanzania kuwa na ID ya NIDA lingejitegemea...
  11. K

    Msaada; Natafuta perfume yenye harufu nzuri

    ..y Ya kupima ntapata wapi mkuu
Back
Top Bottom