Recent content by Kusini Yetu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Escrow kumuumbua Rais Kikwete

    Na ndo maana serikali imewekeza kwa kiasi kikubwa kwenye mradi wa gesi asilia ili tujitegemee kiuchumi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema kutumia nguvu ni kukosa uwezo wa kujenga hoja au ameathiriwa na kazi yake ya awali?

    Mkuu, mhuni anaweza kuwepo mahala popote. Mhuni ni mhuni tu hata akiwa kwenye chama cha siasa hawezi kujivua uhuni wake
  3. K

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema kutumia nguvu ni kukosa uwezo wa kujenga hoja au ameathiriwa na kazi yake ya awali?

    Khaaaa! Hivi huyu Lema anadhani kila mahala anaweza kufanya uhuni wake?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo aisaliti ACT na kujiunga na Team Lowassa, akabidhiwa jukumu la kumshawishi Membe

    Membe asijaribu kujiingiza kwenye siasa chafu. Kama anaona kuwa hana ubavu wa kugombea urais, ni bora akarudi jimboni kwake Mtama ili aendeleze kilimo cha korosho. Kujiunga na kundi la mafisadi ni kujimaliza
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Wadau baada ya Hotuba ya Rais Kikwete kwa 'Wazee wa Dar' kuhusu Sakata la Tegeta Escrow

    Kwani ripoti ya CAG inasemaje kuhusu hao waliobeba fedha kwenye viroba?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Wadau baada ya Hotuba ya Rais Kikwete kwa 'Wazee wa Dar' kuhusu Sakata la Tegeta Escrow

    Ulitia maanani porojo za akina Zitto?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete Afaulu Mtihani Uliomshinda Pilato!

    JK kacheza kama Pele vile!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mdahalo wa Katiba: Jumanne, Tarehe 25 Novemba, 2014

    Kwani wamefanya nini mpaka unawasifia sana?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mdahalo wa Katiba: Jumanne, Tarehe 25 Novemba, 2014

    Weka picha basi kuthibitisha maelezo yako
  10. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mdahalo wa Katiba: Jumanne, Tarehe 25 Novemba, 2014

    Mbona sioni kipya kwenye huu mdahalo?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Tanzania ni koloni la China?

    Huu ni ujinga wa hali ya juu
  12. K

    JamiiForums Tanzania MOU iliyosainiwa Tarehe 26 Oktoba 2014 ni Sanda ya Marehemu UKAWA baada ya kifo chake

    Ukawa ni sheadaaaaaaa!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

    Kuna ripoti ya Madaktari wanaomtibu ambayo inaonesha kuwa Lowasa hawezi hata kukimbia mita 10
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

    Mwacheni jamani Lowasa apumzike. Mnamuongezea stress bure! Ameshakata tamaa
  15. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa Jamhuri Dodoma: Rais Kikwete kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya

    Mkuu, UKAWA wote leo wapo na Warioba wakikodolea macho TBC1
Back
Top Bottom