Asiye na uchungu na taifa hili ni yule asiyelipa Kodi.
Idara zingine mna vyama vyenu vya kuwasemea kama Tughe, Cwt, etc..
Uliwahi kusikia Askari ana chombo chochote cha kutetea maslahi yake?
Wewe unatoka kazini saa ngapi? Wewe unafanya kazi kwa mujibu wa sheria ya utumishi inayomtaka...
Mkuu wetu anakula kiyoyozi 24/7 na kutisha tisha watanzania juu ya 26 April.
Anatisha watu kwa kiburi Cha walinda nchi(Jw,polisi na Magereza), mkuu anasahau haraka.
Mkuu hajui wale watu kwa Sasa wamegawanyika.
Mkuu umestaafisha watu wa huko na mpaka leo hujawalipa pensions zao, hujawalipa...
Hahahaaaaa
Kwa sasa viko tofauti kabisa, cheti cha Bakwata kina mpaka maandishi ya kiislam(arabic) cha serikali karatasi yake inafanana na cheti cha kuzaliwa(vile vyeti vya miaka ya nyuma)
Cha Bakwata ni kimoja nchi nzima, ila kuna baadhi ya mashekhe hua wanapewa vyeti vya serikali( karatasi zake ni kama vyeti vya kuzaliwa), sasa kazi ni kumjua ni shekhe gani katika kata yako anapewa hivyo vyeti maana maisha yetu watumishi ndo kama unavyojua kwenu masasi kazi uko Bukoba
Kama wewe ni mtumishi wa serikali jiandae kutafuta cheti cha serikali.
Hicho cha Bakwata ninacho na kina kila mihuri unayotaja wewe.
Kama hutanielewa time will tell
Tatizo la binadamu ni kutaka kuonekana anajua kila jambo[emoji23] [emoji23]
Endelea na kazi utafute ugali wa familia, hili nililouliza wewe hulijui ndio maana unajibu kujifurahisha
Cheti cha Bakwata kazini wanataka cha serikali, cha Bakwata wanapokea ila hakina nguvu katika mambo kama uhamisho na maslahi ya mtumishi.
Kama kuna yeyote alipeleka cha Bakwata wakamwambia kinatosha basi ajiandae kutafuta cheti cha serikali watamsumbua baadae
Kuna vyeti vya Bakwata kama Bakwata, na kuna vyeti vya serikali
Waliooa wanajua hili, uliza mashekhe watakwambia.
Kuna mashekhe pia wanakua na vyeti vya Bakwata na serikali ila ni wachache sana pia ni vigumu kuwajua maana katika kata nzima vyeti vya serikali unaweza kukuta kapewa shekhe mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.