Recent content by kupigakazi

  1. K

    Bei ya mafuta ya mawese kwa dumu LA ltr 20

    Asante kwa taarifa hiyo. Sasa nilikuwa naomba unituie no yako kama hautojari
  2. K

    NATAFUTA TIV FLAT NCHI 32 NA KUENDELEA' ISIWE YA WIZI.

    Mi ninayo sema uko wapi?
  3. K

    Bei ya mafuta ya mawese kwa dumu LA ltr 20

    Hayo mnayoita mbosa nadhani ndo tunaita mise!!
  4. K

    Bei ya mafuta ya mawese kwa dumu LA ltr 20

    Nahitaji mawese yenyewe tu ni sh ngapi?
  5. K

    Wapi naweza kupata vitoto vya ngurumwe Jijini Arusha?

    Naulizia upatikanaji wa mafuta ya nguruwe huko arusha kwa ltr ni sh ngapi?
  6. K

    Nahitaji kujua bei ya dumu LA ltr 20 LA mafuta ya mawese kutoka mkoan mbeya

    Basi poa ngoja nisubirie kwa matumaini
  7. K

    Bei ya mafuta ya mawese kwa dumu LA ltr 20

    Ltr 20 kwanza nipe bei
  8. K

    Bei ya mafuta ya mawese kwa dumu LA ltr 20

    Jameni wandugu naomba kufahamishwa bei ya mafuta ya mawese dumu LA ltr 20 kutoka mkoan mbeya pale sokomotola au mwanjelwa Sido kwa anaye fahamu tafadhari
  9. K

    Nahitaji kujua bei ya dumu LA ltr 20 LA mafuta ya mawese kutoka mkoan mbeya

    Naomba kujuzwa bei ya mafuta ya mawese kwa dumu LA ltr 20 mkoani mbeya au Kigoma
  10. K

    Nahitaji mafuta ya mawese niko Mbeya

    Write your reply... nipo Mwanza nahitaji mafuta ya mawese naomba msaad kwa aliyepo mbeya jaman
  11. K

    Nahitaji mafuta ya mawese niko Mbeya

    mi pia natafuta mafuta ya mawese nipe no za cim
  12. K

    Natafuta nyumba ya kupanga mwanza

    Me nahitaji yenye vyumba 3 iwe ya kujitegemea kila kitu na iwe na fence maeneo ya Nyegezi, Mkolan na Buhongwa. Ikipatika kwa maeneo hayo naomba kujulishwa bajet yangu 2800000
  13. K

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Kama uko mjini sas hivi ni msimu wa vifaa vya shule unakaribia tafut eneo weka meza kweny maeneo ya machinga nunua counterbook, pen, pencil, sets, socks za shule, swaeter na shati za shule na begi ndogo za size ya watoto wa chekechea. Kwa huku mwanza maduka ya jumla ni mengi utapata kwa bei ndogo.
Back
Top Bottom