Recent content by Kuntankite

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa Maabara

    Medical Laboratory
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa Maabara

    Wakuu ninatafuta kazi ya Maabara ,Nina miaka 30yrs ,mwenyeji wa Kahama ila Kwa Sasa napatikana Mbulu...hebu naombeni nafasi ya kazi kupima Maabara...Maana serikali imeipa kisogo sana sekta ya Maabara...Nina uzoefu wa mwingi tu maana nimefanya kazi sehemu tofauti tofauti....Vyeti na leseni za...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Zitambue taratibu za Kufungua Maabara binafsi ya Afya na Makadirio ya Gharama zake

    Microscope used _300000 Centrifuge machine_200000 Hb & RBG machine_120000 Meza _60000 strip za mrdt,pitc,Vdrl,hvs,h_pilory,upt_50000 sing bod _18000 mengineyo _150000 sinki la kunawia _35000 Taka nachomea Kituo cha jirani...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zitambue taratibu za Kufungua Maabara binafsi ya Afya na Makadirio ya Gharama zake

    Taratibu sijazifuata maana ningepata rongo rongo Sana...nilifuata taratibu Halmashauri ya Monduli Hadi nikaamua nisepe wilaya nyingine tu...mtaji haizidi 2mil...kila Kitu ñacho ...DMO alinifuma juzi akaniomba laki 2 niendeleze huduma pasipo buguza...akawaambia na timu yake waniache nifanye...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zitambue taratibu za Kufungua Maabara binafsi ya Afya na Makadirio ya Gharama zake

    Aiseh huu uzi ningeufuata mwanzoni nisingekufungua Maabara maana umeweka mtaji mkubwa Sana mkuu...Nipo Kijijini ila nimefungua kwanzia trh 1/2/2023 Aiseh hakika naenjoy Maisha ila mdau juu kasema uwe mjanja wa kucheza na mamlaka hakikisha dawa unazo za kutosha unatoboa vzr tu...Mimi nimefungua...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana tufungue Maabara (health) au ubia

    Hello waungwana, Nipo mkoani Arusha. Nina mtaji wa vifaa vya Lab ila gharama ya kulipa pango na pia kurekebisha chumba pesa imeniishia. Sasa basi kama na wewe una ndoto hiyo naomba tushirikiane. Site ni nzuri Sana iko palipochangamka pia sehemu yenye population kila wiki mnada rahisi mno...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Maabara jamani Lab Assistant

    Tangazo hilo kama linavyojieleza wapendwa ninahitaji nafasi ya kazi. Nina miaka 28Yrs...mkazi wa Kahama Shinyanga...Nina ERP....Uzoefu upo wa kutosha tu kama miaka 5 tokea nimalize chuo 2016..Nina mke na mtoto mmoja ...0765 626 871. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom