Recent content by Kuntakint

  1. K

    GE2020 CHADEMA, ACT Wazalendo vyapigwa marufuku kunadi wagombea wasio wa vyama vyao. Waambiwa kufanya hivyo ni kuwachanganya Wananchi

    Ya kumnadi mgombea wa CDM au ACT sioni kosa hapo mwananchi atachanganyikiwa kivipi yaani Mccm wameshikwa pabaya
  2. K

    Nimeanza kufikiri kumpigia kura Lissu

    Utakuwa ujapoteza kura yako. Utafurahi pmj na kizazi chako, kwani utakuwa umewekeza kwa ajili ya familia yako na watukuu
  3. K

    Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

    Pascal hivi haya yanayofanyika wewe unayapenda. Kweli Pascal unayapenda ebu sema ukweli from your HEART. Au kuna kitu unakitaka, mbona umebadilika baada ya kuomba kugombea Ubunge. Au ni kwavile walikunyanganya fursa zote mpaka ukaanza kukosa namna ya kulisha familia. Kama umerudi kwa ajili ya...
  4. K

    GE2020 Job Ndugai asema CCM inahitaji 2/3 ya wabunge ili tuamue chochote kinacholetwa na Serikali

    Kwani ukishachaguliwa na kuwa mbunge. Pale bungeni unakuwa mwakilishi wa nani. Unakuwa mwakilishi wa chama au wananchi waliokuchagua??. Kwa maneno ya Ndugai inamaana watakaochaguliwa na Wanacvm hawatakuwa wabunge wa wananchi, watakuwa wabunge wa chama na serikali hivyo hawataweza kuwatetea...
  5. K

    GE2020 Bora CHADEMA mngesitisha uzinduzi wa kampeni kufuatilia hujuma za wagombea wenu kuenguliwa

    Inabidi afanye kampeni na kuwaelewesha wafuasi wa CDM kwanza, kuhusu Tume. Baada ya wafuasi kuwaelewa ndio sasa mtaiambia tume tunataka wagombea wetu warudishwe. Hapo wafuasi watakuwa wameshawaelewa ata mkiwaambia tunaandamana kuelekea tume wataenda. Ngoja tumsikie leo ataongea nini juu wagombea...
  6. K

    IGP Sirro ipo siku utayajutia maneno haya. Wa kufa ni nani?

    Unaweza ukusoma lkn ukatoka kapa.
  7. K

    Je, Afande Sirro ana chuki binafsi na Tundu Lissu? Kwanini atoe kauli kama hizi dhidi yake?

    Wanapoongea akina Musiba, Nape na wengine wa CCM huyo IGP wako anakuwa amwbanwa na mavi nn. Kwann anashindwa kuwakemea au kukemea. This time lazima watatema vyeo na watashtakiwa kwa kutumia vyeo vyao vibaya. Bora tufe wachache kwa ajili ya wengine. Na ni bora kufa kwa kuwatetea wenzako. Ndivyo...
  8. K

    IGP Simon Sirro ana wajibu wa kutueleza Chama cha Siasa kilichopanga kuchoma vituo vya kuuza mafuta Nchini

    Siro muongo anataka kutuletea zile za IGP MAHITA na CUF kuwa CUF wamebeba majambia kwenye MaContainer. Kama kuna njama za kuchoma vituo za mafuta basi watakuwa ni CCM wakilindwa na Polisi halafu wasingizie Opposition. This time wameshikwa pabaya. Tendeni haki ili msije mkapelekwa The Hague au...
  9. K

    Chato Challenge: Lissu na Membe wakafanye mikutano ya hadhara Chato tuone mapokezi yao

    Mataga bwana hivi ujui kuwa halmashauri ya Chato anapokaa huyo Meko inaongozwa na CHADEMA. Muombe mungu asikunyime akili. Mataga wamenyimwa akili. Yaani vichwa vyao ni matope
  10. K

    Tume yaanza figisu, mgombea wa CHADEMA apewa fomu zilizopigwa mihuri

    Mbona yule anayegombea Mwanza Pambalu fomu zake zimegongwa muhuri na tumeona live akigongewa. Ebu tuambieni fomu ni lazima zigongwe muhuri??.
  11. K

    GE2020 CHADEMA pumzi imekata, Bernard Membe asakwa

    Rudi shule kasome tena unatakiwa kurudia chekechea. ELIMU ELIMU ELIMU. Mataga kwenu shule ni sawa sawa na jela
  12. K

    Ukweli wa mafuriko ya Lissu wafichuka, ni watoa rushwa CCM wanahaha kwa kuwatuma wafuasi wao

    Wewe unatakiwa ukaeudie darasa la kwanza. Yaani mataga cjui akili zenu zimeenda wapi. Unataka kusema hao wagombea wa ccm wanao wanachama mamia kwa mamia ktk kila mkoa. Endeleeni kujitekenya. C mliwanunua wabunge mnalalamika nn sasa wapitisheni. Tuibadilishe Tanzania hawa wasiojua dunia inaenda...
  13. K

    GE2020 Ukweli: Lissu atashinda uchaguzi wa Oktoba kwa 70%

    DOLA NI WATANZANIA kama ujui.
Back
Top Bottom