Recent content by kunowa

  1. K

    Kura zinaibiwa vipi kupitia NIDA?

    Huyu jamaa alikuwa kwenye kazi hii na pole pole si ndio?
  2. K

    Kura zinaibiwa vipi kupitia NIDA?

    Kwahiyo huyu mwamba alikuwa na pole pole kwenye kazi hiyo?
  3. K

    Kura zinaibiwa vipi kupitia NIDA?

    Uchaguzi mkuu tunawapigia kura madiwani, wabunge na raisi. Baada ya kupiga kura zinahesabiwa na matokeo ya kura za udiwani, ubunge na uraisi yanabandikwa kwenye kituo husika, Yale ya udiwani yanajumlishwa kwa ngazi ya kata na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa diwani. Ya ngazi ya ubunge...
  4. K

    Kama ni kweli Wizi wa kura kupitia NIDA na NEC ulifanyika basi sio wanamtandao

    Kwanini App ya Bank ina zote nchini ina access ya NIDA?
  5. K

    GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    Hawa wanaendeshwa na chuki na mihemko, agenda ya kwanza ya pole pole ilikuwa kurudiwa mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi, agenda ya sasa ni ni mabadiliko ya katiba kabla ya uchaguzi, hivi wewe unawezaje kumuelewa mtu kama huyu?
  6. K

    Pole pole napigania NRNE au kuwaondoa wanamtandao ndani ya ccm?

    Pole pole ndio muumini namba Moja wa kuvunja katiba, no wonder walitaka kumuondoa Samia kwa kuvunja katiba baada ya kifo cha Magufuli. Huyu hawezi kuwa mzalendo ni anatetea mtandao waliouunda wao ndani ya CCM na unepigwa KO
  7. K

    Pole pole napigania NRNE au kuwaondoa wanamtandao ndani ya ccm?

    Kama kuna mtu mnafiki na basi huyu Pole pole, hutuba zake za mwanzo alikuwa anadai kurudiwa kwa mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi kwa upande wa CCM ili waingie vizuri kwenye uchaguzi, hakuwa kinyume na uchaguzi. Lengo likiwa na kufanya mabadiliko yatakayo waondoa wanamtandao ndani ya CCM...
  8. K

    Kama ni kweli Wizi wa kura kupitia NIDA na NEC ulifanyika basi sio wanamtandao

    Kwa kumbukumbu zangu, zoezi la kuandikisha NIDA lilianza mwezi Septemba 2015, wakati Rais Jakaya Kikwete anamaliza muda wake na Rais John Magufuli pamoja na Polepole, Kakurwa na wazalendo wengine wakiingia Ikulu. Hata hivyo, matumizi makubwa ya mfumo huu yalianza zaidi katika kipindi cha...
  9. K

    Polepole: Mkapa na Magufuli walikua na Bond kwakua wote waliingia Uraisi wakiwa na Deni kubwa la awamu ilopita

    Mulizoea kunyonga pekeyenu Leo kula na wenzenu lazima muine taabu. Ila inawabidi mukubali tu. Ninyi mukatae agenda ya dini wakati munasifu viongozi wakatoliki humu kuwa ndio wenye maarifa kuliko wengine na kuwaita wavaa kobazi. Alafu munataka wavaa kobazi waunge mkono agenda zenu?
  10. K

    Polepole: Mkapa na Magufuli walikua na Bond kwakua wote waliingia Uraisi wakiwa na Deni kubwa la awamu ilopita

    Kazi ya ajabu kwa masharti ya kuuza rasilimali za taifa? Hii kweli kazi ya ajabu
  11. K

    Twende polepole

    Kuna rumors ziliwahikuwepo humu kuwa watu walitaka wawe maraisi wa Kisumu wao na genge Lao wakaandaa pesa nyingi kutimiza hilo jambo, baada ya Kiongozi kufa hili kundi halikufa na bado lilibaki na ndoto zilezile. Sasa naona wajanja wenzao wakausoma mchezo wakaja na form moja. Form moja ilikuwa...
  12. K

    Twende polepole

    Kaka umesema upo CCM tangu 2000. Hebu tueleze uchaguzi wa mwaka 2010 CCM ilitoa form ngapi za uraisi? Mwaka 2020 zilizalishwa form ngapi? Mbona hukuachia ngazi?. Lakini umesema mchakato wa katiba mpya "wahuni'' walivuruga maoni ya wananchi, wewe na walipanga pia kuhujumu uchaguzi mkuu, wewe na...
  13. K

    Namna Israel ilivolemaza Iran kwa muda mfupi

    Tanzania ni nchi ambayo ina ubaguzi mkubwa na wa hatari kuliko hata wa Afrika kusini, ubaguzi huu una madhara hata katika kuungana kupigania haki za msingi kama taifa. Ona watu wanavoshabikia Vita ya Israel na majirani zake, amani tunayoihubiri ni unafiki. Kama unashabikia dhulma ya mtu...
  14. K

    Godbless Lema, hospitali zote hizi nchini lakini unaenda Kenya ukaangaliwe bega, una hofu gani?

    Alafu wafuasi wa chadema ni double standard Sana. Inakuwa vigumu kueleweka, much wanaweza kukusawishi na muda wanakutoa kwenye mchezo. Suala la Lema kutibiwa nje ya nchi hata kwa tatizo Dogo sio la kulikingia kifua, ingekuwa amefanya samia baasi ingekuwa ni headline kubwa, Lema anaandaliwa kuwa...
Back
Top Bottom