Recent content by kunogasana

  1. K

    JamiiForums Tanzania Moshi: Wahukumiwa kifungo miaka 90 jela

    Kuna haja ya elimu juu ya sheria hii ya dawa za kulevya
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Nahisi kuna tatizo baadhi ya maeneo, au hawajaelewa nini mgombea wetu alimanisha jana kuhusu kufunga mkono mwalimu self
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Hiyo mihemko bro siasa haiko hivyo inabidi ufanye analysis mapema sana kabla ya kusema jambo lolote la kisiasa, wewe subiri muda ufikie
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Wewe kaipoteze huko wala kula yako moja haitapunguza ushindi wa kimbunga wa JPM
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Hiyo ya kuchangiwa na danganya toto, mabeberu wamesha njaaa mapesa ya kutosha huyooo
  6. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli za mgombea wa CHADEMA zinashangaza sana

    Hiyo watt 1200 ni ya mradi upi wa umeme?
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja tatu ni kwanini wapinzani hawatoshi kwenye Uchaguzi huu

    Ikiona mtimamu ameanza kujibu hoja kwa kuanza na tusi au dharau jua tayar
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja tatu ni kwanini wapinzani hawatoshi kwenye Uchaguzi huu

    Kaka naifahamu vema kwani uchaguzi ni dharura si walijua kuwa kuna uchaguzi kwa nini hawakuungana mapema? Sheria haimkabi mtu acha ushabiki mandazi kaka
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sijafurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza kwa Tundu Lissu kwa mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma

    Siyo vema paka kumwta mwenzako nyau[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sijafurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza kwa Tundu Lissu kwa mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma

    Suala sio kupelekwa suala ni idadi ya watu kwenye kampeni kwa chama kikubwa kama hiki
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Ikulu ya ubeligiji au ipi unayoisemea kaka, hao waache kumpa Kura membe wakampe risu thubutuuuu. Jaman tuache ukasuku uchaguzi ni namba. Kumbuka mwaka 2015 tulikuwa na ukawa tukapata Kura za urais 6m .lakini this time kumbukeni kila mtu anapigana kivyake. Kama unakipenda chama chako jiandae...
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Hata siku moja hamtakuja kuwa na demokrasia ya kweli kama daily mkisimama majukwaani mnaahidi kuwaletea wananchi, maji, barabara, umeme, matibabu, masoko ya mazao ya biashara kama hamtajibidisha kukamilisha haya sasa. Msidhani maendeleo ya ulaya yalipatikana kirahis hivyo, wenzenu waliumia sana...
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli za mgombea wa CHADEMA zinashangaza sana

    Bro kataa kubal hapo hamna mgombea urais wa kuiongoza Tz
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli za mgombea wa CHADEMA zinashangaza sana

    Nyie mtu akishaanza kushabikia kufilana huwa hawezi kufocus kwenye mambo ya msingi, kimsingi Lisu siyo chaguo la chadema ila mabebelu, tena sasa ana ulaia wa nchi hiyo sijui tunajua hilo
Back
Top Bottom