Recent content by KUNI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Mapema tu. Hii imeshatoa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Kama huwa unaweka odd chache. Weka ufaransa kupata kona 4+ first half. Ina odd 2+.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Sijabet. Nasubiri half time.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Punguza hasira bro. Bet for funny.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Nasubiri half-time ndo nitajua. Mechi imekaa kimtego, hainishawishi kubet kabla ya mechi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Hii nimeweka half-time baada ya kuona flow ya game. Ndo maana odd zimekuwa nyingi. Kabla ya mechi odd zilikuwa 4+ tu, hata tano zilikuwa hazifiki.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    20+ odd nyingine. Less than 10+ odd hatuchezi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Hiyo ya kwanza imeshatoa 700+.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Odd nyingine 20+ bado zinapumua.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Kama kawaida. Ni mwiko kubet chini ya odd 10.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Leo mechi ya Canada in goals nyingi na wanafungana. Amua mwenyewe ujilipue kwa style gani.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Kawaida. Unaweza usiwe na njaa, bado ukawa na papara. Na unaweza kuwa maskini jeuri pia, utulivu 100%.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Kawaida. Mi odd chini ya 10 huwa sichezi. Nimepigwa mara nyingi, lakini nikiwanyoosha, nawanyoosha kisawasawa.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Baada ya kucheck underperformance ya Portugal kwenye mechi ya kwanza, logic ikaniambia lazima mechi ya pili wapambane kurudi kwa kishindo. Na kutafuta goli la haraka ndo njia pekee ya kurudisha confidence. Na kwa kuwa kwenye mechi ya kwanza walipata goal la mapema wakarelax, this time...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Member Kuni aliyekataa ku cash out mechi ya Ureno najua sasa hivi roho juu

    Kwamba AI ilitabiri Portugal atascore 3 goals first half kabla ya mechi. Tupe maujanja mkuu, tutajirike kupitia hiyo AI.
Back
Top Bottom