Huyu jamaa sijui ase kusaidia mtu na maswala ya great thinker wapi na wapi inamaana ukiwa great thinker ndio asisaidie mtu huyu hajui hata yupo humu kufuata nini anazurura tu
Ishu ya yule dada yaani amechomwa sindano yenye sumu mara mbili lakini hola mwisho wa siku anatibiwa tenaa so najiuliza ataachiwa huru au hukumu ipo pale pale?
Binafsi mtu kuitwa tu Tlaatlaah kilugha chetu ni mchana yaani ni mweupe kichwani niwaambie mtateseka sanaaa ninyi mbogamboga nina shaka na ufuatiliaji wako wa hii kesi inayomkabili mwanasheria mbobezi Tz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.