Recent content by Kungunimgomvi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hii staili ya kujibu maswali inakera!!

    Ila kuuliza swali wakati umeulizwa nayo ni kama dharau
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hii staili ya kujibu maswali inakera!!

    Hio ni kawaida yetu watanzania jmn......mtu haulizi hivyo kwa ubaya na si kwamba haoni unachofanya au nn........mfano mpo sehem wanapouza magazeti mnasoma wote headlines lkn anakuuliza" wameandika nn hapo?".......its just anataka mdiscuss na muongee. Na hio ni kawaida. Kwahio mtu saa zingine...
  3. K

    JamiiForums Tanzania What what?

    Unauliza kuku singida?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine yana kera kweli hebu cheki hii

    Hii thread mbona haina maandishi?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jifunze kupitia story hii, nili share mahali!!!

    Adui muombee njaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je, unajua sheria za kuvaa tai?

    Ukivaa tai hutakiwi kubeba mfuko wa rambo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je, unajua sheria za kuvaa tai?

    1: hairuhucwi kuvaa kandambili 2: hairuhucwi kula barabarani 3: hairuhucwi kuuliza mda 4: hairuhucwi kupanda baiskeli 5: hairuhucwi kusimama gengeni
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, unajua sheria za kuvaa tai?

    Pia ukivaa tai hairuhusiwi kutokwa jasho
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, unajua sheria za kuvaa tai?

    Kuna vitu ambavyo ukifanya huku umeulamba tai utaharibu sana 1: ukivaa tai.....usile mua 2:ukivaa tai......usiongee...hadi mate yakatoka Naomba muendeleze hapo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Taja mifano ambayo ilikufurahisha pindi unaposoma

    History.......mbonane
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    Mboga ya taifa
  12. K

    JamiiForums Tanzania azam inatisha saaana check hapa.

    Barafu
Back
Top Bottom