Watumishi wanamezesha kwanza sumu ya uaminifu kwa waumini kabla ya kila kitu kisha kuanza kuwapa hadithi za uongo na ulaghai kwahy wak inakua rais kuingia kwenye mtego wa kwa bwana hakuna kinachoshindka
Tatzo ukuelewa mantiki ya point yangu ni nini diamond kwenye mahojiano yake hivi karibuni amesema kuwa anahudumia na anaishi na watoto ambao alipima hadi DNA na kutambua sio wake ila anaendlea kuwa handle kama watoto wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.