Recent content by Kundebyabernad

  1. Kundebyabernad

    The secret of number 333! A making of 264...!!

    Aisee ni mwendelezo ule ule machafuko ya Babeli.
  2. Kundebyabernad

    Kila mmoja wetu ana kashetani kake

    Sawa Unaweza kuelewa Tabia za Shetani pasupo kujua Shetani ninani, Shetani ni nani na ilikuaje akawa Shetani, unaweza kunipa majibu ya kunitosha pasipo kutumia maandiko, Unapozungumza Mwanadamu na Tabia zake uwezieleweka kirahisi pasipo kurudi ktk historia ya maandiko matakatifu, mfano...
  3. Kundebyabernad

    Shahada ya kwanza inatosha, Watanzania tusipoteze muda kusoma zaidi

    Elimu ya Kidunia ni tofauti na Elimu ya Mungu, elimu ya Mungu inategemea maandiko na vitabu vya unabii katika kupata maarifa. Hivyo kilichokua kikizungumziwa hapo ni maarifa ambayo watu wanayapata kupitia elimu ya Kidunia na hayawasaidi watu kuutafakari umilele, zaid ni kujikita ktk kuyasaka...
  4. Kundebyabernad

    Shahada ya kwanza inatosha, Watanzania tusipoteze muda kusoma zaidi

    Tatizo lako kaka unachukua neno moja tu na kulitolea ufafanuzi, je anapozungumzia Mwandish? Pia kwa Dunia yaleo ili uwe na Hekima usome kwa leo hakuna mchungungaji alie chini ya 4m4! Naomba unipe tafsir ya Mungu alichokisema hapo kma sivyo bas kubaliana na mimi.
  5. Kundebyabernad

    Kila mmoja wetu ana kashetani kake

    Ok nataka andiko tu wala siitaji Uekumene hapa!
  6. Kundebyabernad

    Shahada ya kwanza inatosha, Watanzania tusipoteze muda kusoma zaidi

    1wakorinto 1-20 Yu wapi mwenye hekima? Yu wap mwandish? Yu wapi mleta hoja wa zamani hizi? Je! Mungu hakuifanya hekima ya Dunia kuwa ni upumbavu? 21 Kwa maana katika hekima ya Mungu, dunia isipopata kumjua Mungu kwa hekima yake, Mungu alipenda kuwaokoa waminio kwa upuuzi wa lile neno...
  7. Kundebyabernad

    Shahada ya kwanza inatosha, Watanzania tusipoteze muda kusoma zaidi

    Kwani ndg kilichokuwa kinazungumziwa si Elimu na mafanikio ama mi sikuelewa vzri?
  8. Kundebyabernad

    Kila mmoja wetu ana kashetani kake

    Mtumish nasubiri jibu kwa faida ya wengi.
  9. Kundebyabernad

    Shahada ya kwanza inatosha, Watanzania tusipoteze muda kusoma zaidi

    Elimu inayokwambia Mwanadamu alitokana na Nyani sindo hiyo hiyo inaendambali hadi degree? Mimi sijabahatika kusoma sana ila nilifundishwa hvyo maybe nikuulize na kina Daniel walifundishwa hvyo kumkana Mungu?
  10. Kundebyabernad

    Shahada ya kwanza inatosha, Watanzania tusipoteze muda kusoma zaidi

    Ndg mimi nasoma Gombo sio biblia elimu ya Mungu tu ingetosha sana kutufanya kuwa mabwana wa maisha, lkn hii elimu ambayo ni Upuuzi inawafanya watu kuwa wa binafsi na kuwa watumwa wa maisha! Upendo hakuna imebaki kila mmoja kupambana na hali yake. Kma ningekua Muda wa kutosha ni kufunulia vitabu...
  11. Kundebyabernad

    Shahada ya kwanza inatosha, Watanzania tusipoteze muda kusoma zaidi

    1Wakorintho 1-20 Mungu anaita Elimu na hekima ni upuzii tu, mwisho wa siku ni mafanikio amboyo hayana tija yoyote ktk maisha baada maisha!
  12. Kundebyabernad

    Neno la Asubuhi...

    Nitamu pia nichungu, ususa uchungu hule alipitia Yesu kwaajir ya dhambi zetu (Ubinafsi na kujiinua) .Yesu alituliza hivi "mwaweza nywea kikombe hiki" Petro akajibu ndio twaweza, na kweli Mitume wote walikinywea, mbna sisi tumeonekana kuwa mbali na hicho kikombe na ndio kipimo thabiti cha kumjua...
  13. Kundebyabernad

    Kila mmoja wetu ana kashetani kake

    Tuthibitishie ktk biblia ni aya ya ngapi kutoka kitabu gani na mwandishi ni nani, kma usipotoa aya najua umetunga!
  14. Kundebyabernad

    Ini na ngozi ya samaki huyu hutumiwa na wachawi kuchukua watu misukule

    Yupo kiboko yao unamjua? Yesu ndo kiboko ya hzi roho chafu.
Back
Top Bottom