Una
Unaposema uzalishaji upo chini unamaanisha nn? Una idadi ya kuku wangapi na je unaokota tray ngapi kwa siku? Unafuga kuku wa kampuni gani? Chakula unatengeneza mwenyewe au unanunua cha kampuni gani? Hebu nijibu hayo tujaribu kushauriana na mimi ni mfugaji pia
Hakuna cha asili wala cha nini. Haya maandalizi ya namna hii yanahitaji pesa nyingi sana kuzidi zile za kugawa makanisani na miskitini. JPM amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kwa kubana upatikanani wa hela chafu ambazo niseme ndo zingewezesha hiyo unayoita asili. Kwa hali Iilivyo sasa mifukuni...
nashukuru sana kwa kunielewa mkuu!! Mimi ni mkristo na hata nguruwe siyo haramu kwangu shida ni ile harufu na mazingira finyu wanayofugiwa hata pahala pa kumwaga mbolea hana ni vurugu ya ajabu! Yeye hawezi ona kero vile ni wa kwake lakini anatutesa wengine! Asante sana ngoja nianzie kwenye hizo...
Niko kwangu mkuu tukisema tukaishi uzunguni tutapata viwanja wote? Na umejuaje hapa kwangu ni uswahili? tatizo ni thinking capacity ya jirani imekuwa ndogo kuamua kukera wenzie
Issue
Siyo uwekezaji ninachojua nguruwe inataka nafasi sikatai mi mwenyewe mkristo shida ni ufinyu wa eneo tunaloishi na ndo maana hii mifugo nasikia hairuhusiwi kwenye makazi ya watu sababu ya harufu hawa ni tofauti na kuku ujue
Wakuu naombeni mnipe msaada wa mawazo ikibidi na wa kisheria kuhusu huyu jirani yangu aliyeamua kufuga nguruwe kwenye makazi ya watu, ni jirani tumepakana kwa kutenganishwa na ukuta na mabanda ameyaweka mwisho wa ukuta na umbali toka nyumba yangu Iilipo na mabanda ni kama mita 4 tu sasa harufu...
We nadhani haina familia na pengine umeshakata tamaa ya kuishi ndo maana unaleta uzi wa kipuuzi!! Huo mwendo ni sahihi kabisa tena ingefaa hata speed iwe 40 KPH, nakumbuka niliwahi panda basi la best line tokea arusha kwenda nzega liliondoka arusha saa sita mchana badala ya saa 12 alfajiri na...
Mi nimekuwa nikiota ndoto na mara nyingi kama mfano nimeota mtu flani kaja kwangu na kweli huyo mtu huwa anakuja na pia ndoto za matukio mengine nikiziota huwa zinakuwa kweli japo zinakuwa zimejificha kidogo lakini at last napata jibu na ndoto ile hukamilika...hapo nakuwa nina nn mkuu?
Mkuu pole japo nimecheka balaa lol..nimejaribu kuwaza tu hapa hali hii ikamkuta mchoma nyama akaenda KUMOGOA kimya akarudi na mikono hiyo hiyo anakukatia nayo nyama choma duh!! aisee kumbe tunalishana uchafu sana ahahahaaaaa uwiiiii kama nawaona watu mlivyokunja sura....
S
hida Ya interchick ni nini mkuu make ndo nimewaingiza kwa sasa baada ya napoko kunipa hasara ya ajabu kuku 1000 walikufa na ndo walikuwa wameanza kudondosha mayai
Hili tatizo naona liko kwenye kampuni zote, mi nilifuga napoko wakafa kuku 1000 wa mayai na walikuwa ndo wameanza kutaga nilipata hasara ya ajabu sitaki hata kukumbuka! Ukienda kulamika wanasingizia ni tatizo lako mfugaji wakati unakuta ni zaidi ya watu watano mmekumbwa na hilo tatizo! Sielewi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.