Stori za muziki.
Kwenye album ya Titanic yake JB Mpiana ya mwaka 1997 na Band yake ya Wenge BCBG Les Anges Adorables; kuna wimbo uitwao Baracuda. Katika wimbo huu namba tatu kwenye album hiyo, dakika ya 3:20, JB Mpiana anataja maneno haya 'Afrika sukisa Chantal Kazadi'.
Unaweza usikiliza hapa...
KAma ambavyo Red Giant husema, mambo huwa hayako vile tunayajua au kuyaona. Lincoln hakuwa muumini wa haki za binadamu au mpinga Ubaguzi au utumwa kama ambavyo dunia tumeaminishwa. Lincoln alipambana kufuta Utumwa, kwa lengo tu la kuuokoa Muungano wa Marekani.
Hii ni nukuu yake kutoka kwenye...
Hiki ni kitabu cha nne kukisoma kutoka kwa Jared Diamond [Guns, Germs and Steel —kitabu changu bora cha wakati wote—, Collapse, na Why Sex is Fun]. Katika vitabu vyake vyote, mambo matatu yanafanya vitabu vyake viwe bora katika Nonfiction authors; Moja vyanzo vyake vya taarifa viko wazi, pili...
Unaweza ukastaajabu, lakini ndio ukweli. Barabara ni kwa ajili ya wananchi wenyewe, lakini wananchi wenyewe ndio wanahitaji walipwe pesa ya kufanya tambiko ili barabara ipite.
Je, ni lazima barabara ifanyiwe tambiko? Isipofanyiwa haipitiki?
Note: Ukisikiliza hii video vyema ni kama kuna...
Kwa wapenzi wa masuala ya wanyama na uhifadhi.
Moja ya kanuni kuu ya Simba katika kumla Nyati, anahitaji awe pekee yake. Wakiwa kundi na wakavimba kwa umoja wao, simba hamli nyati. Wanaishia kurushiana miguu tu. Kwenye video hii, yaelezwa msuguano wa simba na Nyati ulitumia takribani dakika 30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.