Recent content by kulusumu

  1. kulusumu

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania tumeshaanza kufaidika na DHAHABU za Mgodi wetu (STAMIGOLD)?

    acha kupotosha jamii stamigold inamilikiwa 100% na serikali Mengi kaingiaje hapo???
  2. kulusumu

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Dhahabu wa STAMICO Wafungwa

    huu ni mwaka wa 3 sasa stamigold inajiendesha kwa inachozalisha wala haina bajeti ya serikali kupitia wizara yoyote ...soon wataondoa hito dhana ya kutoamini wataalamu wa kitanzania......
  3. kulusumu

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Dhahabu wa STAMICO Wafungwa

    huo mkataba wa awali ni upi mdau tujuze basi
  4. kulusumu

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Dhahabu wa STAMICO Wafungwa

    sheria namba ngapi ya mgodi inasema mashimo yafukiwe? mgodi ukishafungwa unaweza kukabidhiwa ukawa hata chuo cha kijeshi mashimo yakatumika hata kwa mazoezi, kama umewahi kupita mgodi wwt mashimo huwa yanaifadhi maji na maji hayo huwa treated yanatumika kwa shughuli zingine ikiwemo kuogea so...
  5. kulusumu

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Dhahabu wa STAMICO Wafungwa

    acha uzushi wewe dhahabu haikuibiwa huyo jamaa angetoka vipi na kuna cctv camera???? aliishia kuiacha getini ikarudishwa ndani na yy kupokelewa na polisi na kulala polisi nakesi naskia bado inanguruma....hiyo taarifa ya tukio la kujaribu kuiba dhahabu waliitoa kwenye page yao ya facebook
  6. kulusumu

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Dhahabu wa STAMICO Wafungwa

    tuwe positive na wataalam wetu wa kitanzania na tuwaombee kheri kuliko kuponda kila kinachofanyika kwa kulingaisha na mashirika mengine yaliyokufa sijui ATC, TRL n.k hao stamigold huu ni mwaka wa 3 wapo na naamini wataendelea kuwepo maana wana wataalam wenye experience ndani na nje ya nchi...
  7. kulusumu

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Dhahabu wa STAMICO Wafungwa

    matokeo chanja yatafika tu maana kuchimba ndani ya msitu unalipia kila mti uliokata ndio maana wanapewa SML yaani special mining licence maana wanachimba ndani ya msitu...bilioni 3 kwenye dhahabu ni mauzo kidogo sana watalipa tu mdaiwa hafungwi....
  8. kulusumu

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Dhahabu wa STAMICO Wafungwa

    hiyo dhana ya migodi kuendeshwa na watu binafsi sijui wazungu sijui lini itaondoka kwa watanzania....stamigold huu ni mwaka wa 3 sasa wanazalisha dhahabu hata GGM na ACACIA hawakuanza tu kwa faida lazima ukubali kuendesha kwa gharama kubwa kwanza ndio badae uanze kuona faida ya unachozalisha...
  9. kulusumu

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Dhahabu wa STAMICO Wafungwa

    wewe yaelekea huna taarifa kamili ya huo mgodi wa stamigold ...navyojua mimi ABG ilikuwa kampuni kubwa ambayo ilijiwekea malengo makubwa hivyo kutokana na kiasi kilichobaki wao waliona hakitaendana na gharama zao za uendeshaji lakini kwa mchimbaji wa kati kama stamigold pangemfaa ndio maana...
  10. kulusumu

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa Dhahabu wa STAMICO Wafungwa

    acheni story za kutunga na kuonyesha chuki ya wazi kwa watanzania wenzenu ambao tangu 2014 tumekuwa tukiona kupitia taarifa mbalimbali kuwa wanazalisha dhahabu na hawakuwahi kufunga hata mara moja. ifikie sehemu tuwape moyo wataalam waliokataa kufanya kazi makampuni ya kigeni wanapambana kufa na...
Back
Top Bottom