mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Watanzania tunamiliki mgodi wa DHAHABU uitwao STAMIGOLD. Kabla ya kuwepo stamigold ulikuwa chini ya African Barrick Gold (ABG) ambayo sasa ni Acacia Mining Ukijulikana kama Tulawaka Gold Mine.
Tangu tumemiliki mgodi huo sioni kama kunavuguvugu lolote kuonyesha kunamabillioni tunayaingiza kwenye mfuko wa taifa kutokana na Mgodi wetu huu. Au mgodi huu unasimama kama PILOT project ya watanzania kuanza Kuchakata madini yetu wenyewe au kwa Kushirikiana na wawekezaji.
NAuliza kama tunafaidika nini kutoka STAMIGOLD? weredi watujuze...