Mwaka 2014 siku ya xmass tulikutana ndugu mbalimbali kusherekea, katika hao ndugu alkwepo binamu yangu, let me call her Carin, ambae ndie nlimla kimasihara.
Tulisherekea hadi saa tatu usiku, baadae Carin akaniomba nimsogeze hadi mbagala, maana kwao ni mbal kidgo na mda ulikua ushaenda na...