Ni takribani siku ya nane(8) serikali imeshindwa kuwapatia chakula wanafunzi katika chuo cha afya kilichopo ndani ya hospitali ya rufaa Mbeya (MMTC) wanafunzi wanajitegemea bila mkopo wala taarifa zozote kutoka kwa wizara ya afya ilihali wamelipa ada Tsh 985,500 ,je ni wakina nani wahusika wa...
Takribani siku ya nane (8) sasa wanafunzi wa chuo cha tiba ya meno (school of dental therap) , Advanced diploma in clinic medicine na nursing school(hospital ya rufaa MBEYA) awapewi chakula cha asubui adi jioni ilihali wamelipa ada ambayo ilipandishwa na serikali ya CCM adi kufikia Tsh 985,500...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.