Beki wa kati wa klabu ya Simba SC , Abdulrazack Hamza bado hajafanya mazoezi na klabu yake tangu alipopata majeraha ya njama za paja akiwa timu ya taifa ( Taifa Stars )
Taarifa zinaeleza kuwa hakuna matarajio ya Abdulrazack Hamza kufanya mazoezi na klabu yake hiyo kuelekea mechi dhidi ya Yanga...
Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC.
Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji vipindi na uandishi habari kwa ujumla.
Masoud anaelewa ni nini anachofanya na kwa muktadha muafaka...
Hii sub ni ya kimkatikati vp
Pale timu inaposhambuliwa upande wa kushoto anakwepo mwenda na shabalala Lakini kwa upande wa kulia anakwepo kapombe na duchu
Safi sana coach Benchika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.