Hi tabia inakera sana, wanawake jaribuni kubadilika, mtu hata hakutaki wala hana wazo la kukutongoza lakini akikusemesha kidogo tu, utadhani amekutongoza miaka mitatu mfululizo, majuzi nimepoteza direction mahala flani, nikamuona dada mmoja nikamfuata kistarabu, nikamsalimu na kumuuliza, bora...