Recent content by kuchele.com

  1. K

    Kwa takwimu hizi UKAWA ikulu haiwezekani

    Wewe mleta uzi unaonesha Lumumba imekudhoofisha kifikra sasa kwa taarifa yako,mtaa mmoja walio shinda ukawa una wakazi wasiopungua4000,na kijiji kimoja walicho shinda ccm kina wakazi 140,sasa jitahidi kushirikisha ubongo unapo ongea hayo
  2. K

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hongereni kwa kazi nzuri lakini kuna tatizo limenipata leo tarehe 9/9/2015,saa 9:55 jioni hii tawi la NMB,MBALIZI ROAD,MBEYA nimetoa pesa Tshs,400,000.mashine imehesabu lakini haijatoa pesa nimeingia ndani kuomba msahada na wamenipa form niijaze na wakanitaka copy ya ATM card yangu sasa nimetoka...
  3. K

    Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania latoa tamko la kumuunga mkono Dr. Magufuli

    Hakuna TAHIRISO inaweza kufanya upumbavu kama huo japo najua ccm wangetamani iwe ivo lakini tambieni kuwa wanachuo watamliza Magufuli mwaka huu usipime maana tuna uchungu na manyanyaso tuliyo yapata kwa muda mrefu na ccm,tusubiri October
  4. K

    Mahakama ya wananchi aliyoianzisha Mbowe igunga ndo dawa ya Ukawa.

    Jamani nimewahi kusema kuwa Mbowe ni mweledi sana katika kazi zake jamaa yuko smart sana sasa wananchi waseme wenyewe wanamtaka nani
  5. K

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Sasa kikwete na Magufuli hatujajua nani kasababisha watu wakusanyike
  6. K

    Utabiri:UKAWA kushinda viti vya ubunge kwa asilimia 72;CCM asilimia 25 na ACT asilimia 3

    Naamini mahakama zitasimamia haki kuwapatia Watanzania kile wanachohitaji
  7. K

    Mwigulu Nchemba Amzika Lowassa leo Mwembetogwa, Iringa Mjini

    Mleta uzi vipi naona unajipofusha mwwnyewe aya jifanye huoni
  8. K

    Hujuma zimeanza Jimbo la Segerea dhidi ya Julius Mtatiro

    Niko UKAWA,Ideclear the Interest,Chadema taifa tafadhali mwiteni huyu dada segerea mtatiro ndiye ushindi wetu wana UKAWA plz
  9. K

    Mungu Mbariki sana Mgombea wetu Mh. John. P.J. Magufuli

    Uyo mama aliye shikishwa bango unaweza ukaona physical appearence yake hakuwa yeye yaani kapewa gauni hilo jipya na chini ya usimizi wa uyo kijana apo nyuma yake kuwa ashike ilo bango jamani ccm muwahurumie hawa bibi zetu mnawatesa jamani
  10. K

    Kingwendu noma, ang'oa CCM Kisarawe

    Gaselle,kwani unaweza ukafananisha Kingwendu na Asumta Mshana?kwa ability ya ku synchronize matters?tuwe wakweli Kingwendu anaweza pia jengeni Imani na maoni ya wananchi na si kuona nyie pekee ndiyo mnajua zaidi.
  11. K

    Lowassa awaharibia CCM Tabora

    Hatihati kwa bashe kukumbwa na mafuriko
  12. K

    CCM waumbuka Uwanja wa Taifa, Makamba akumbana na nguvu ya UKAWA

    Jingalao wewe jitahidi kuwa na hoja zenye minofu unaposema dar kuna watu wangapi unashangaza sana kinachozungumziwa hapo na mleta uzi ni Issue of specificity,yaani eneo husika katika uwanja wa Taifa na siyo Dar nzima,sasa kama umeshindwa kutambua hilo basi napatwa na wasiwasi kuwa nyie...
  13. K

    Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Uyu babu anapoteza muda wake bureeeee sisi Watanzania hatuko tayali kumsikilza yeye ajipange kupika miogo yake sisi Lowasa tuuuuuu
  14. K

    Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Katavi

    Naona wajasiliamali wa Lumumba mko kazini kwa taarifa yenu subirini kisu tu 25 october hatuna namna nyingine maana tumechoka sasa kaeni bench
  15. K

    CUF wasema Bai Bai UKAWA wajiunga na CCM

    Kununuliwa nako ni kazi pia
Back
Top Bottom