Recent content by KUCHE

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Mtu wa kale nafikiri tumefikia muafaka mzuri kwenye thread nyingine juu ya nini kilipaswa kujadiliwa badala ya kudeal na mtu mmoja mmoja, hatupaswi kubishana kwakuwa kuna mtu anataka kumnyonga huyu na wengine wanamtetea,. Tulipaswa toka mwanzo kuliangalia suala hili kwa upana wake na kwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Joshi, kwanza nafikiri na nyie mmekamuliwa mpaka sasa tunafikia muafaka, na kama ingekuwa hivi toka mwanzo tusingekuwa na mjadala mrefu na hata hawa wanafiki kama alieleta hii thread ya kuwa kulikuwa na kikao wakati hakikuwepo wasingekuwepo. Ukweli toka mwanzo watu walikuwa wanamshughulikia mtu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Haijalishi Kama ni Mchechu au mwingine alimradi Kama taratibu zilipindwa! Na hiyo ndo sahihi ya kudeal na matatizo ya nchi hii! Tukianzia hapa baadaye tutafika kwenye mikataba yote, Lakini pawepo pa kuanzia!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Dawa yake ni kukamata aliyesaini na kuweka ndani kwa kuitia hasara serikali! Kwisha habari! L
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    jamaa kashindwa kujibu hoja zangu za msingi, na zaidi sana ni kulalama tu!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    maoni yako
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    KIRANGA, ingekuwa toka mwanzo watu wameliangalia suala hili kwa mtizamo huu wa sasa ungeona response Tofauti. Lakini toka mwanzo wabaya wake walichukua side kwa Kivuli cha uwajibikaji. Huoni hata Hoja za kujenga na kuwashauri watu nini kifanyike Kuzuia maafa ya kujitakia NA ya kijinga kiasi hiki...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    MTU WA AMAZON, FIKIRIA KWA KINA NA JADILI SUALA ZIMA LA SYSTEM LINALOHITAJI AKILI ZAIDI KULIKO MAJIBU RAHISI. MBONA UMEINGIA MITINI KWENYE HOJA ZANGU? ACHA MAJIBU RAHISI KWA MASWALI MAGUMU! QUOTE=Kiranga;6057116]Utasemaje "angejua" wakati mtetezi wake ZeMarcopolo anakwambia alijua kuna...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Kazi za Consultants wakiajiriwa site ni Pamoja NA kusimamia Quality Licha ya Taasisi zingine lukuki! Sasa mnasemaje juu ya Majengo waliyosema yamekamilika NAYO ni 61 NA yote yalikuwa yanasimamiwa na wasimamizi wa Nje! Suala kubwa HAPA ni kwamba Nyumba ilijengwa chini ya viwango NA sasa LAZIMA...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Ni bora ya hawa wameamua kudeal na system ingawa inaweza isiwe kwa undani wake na haujasikia matusi, chuki, wala harufu ya visasi! Civilisation ilianzia kwa mainjinia, lakini He She wangu yeye ni bango la mtu tu! Sima kidogo hiyo TAMKO LA TAASISI YA WAHANDISI TANZANIA KUHUSU KUPOROMOKA KWA...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Joshi, Sisi wengine tunakufahamu vizuri, NA Mimi nilifikiri baada ya kuoa Sasa utakuwa NA Busara NA pia Kijana Riziki! Lakini Bado Nakuona ukiwa na umbeya na majungu yaleyale ya tulipokuwa shule! Umeshindwa hoja NA kujibu maswali ya Msingi Sasa unakimbilia rushwa! Haya tuambie wewe alikugawia...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    By the way joshi, hukuona kama mawaziri husika kutoka taasisi zinazohusika wanapaswa kujiuzulu kama ulivyotolea mfano mfu wa japani. Ndo maananasema unachuki binafsi na huhangaiki na system change badala yake vidagaa. Joshi haya ni matatizo ya uelewa mdogo kuataka kuutumia kuwa mtaalamu wa kila...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Bro sis wengine tumekuwa tunamfuatilia na amekuwa ni role model wetu NA ninafikiri haipaswi kuona mtu anachafuliwa hivi hivi kwa Hoja Nyepesi Nyepesi NA kuunga unga bila kuangalia Sheria NA Taratibu zinasemaje NA baadaye kila mtu anamwagika! JAMAA NI JEMBE KWA KILA ALIPOPITA NA SOON ATACHUKULIWA...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Ndo maana Joshi nakuambia ya kuwa unachuki Binafsi. Kwanini usiache Sheria ichukue Mnkondo wake? Mbona hujasema Mayor NA Mkurugenzi wa Ilala kwa majina yao wawajibike, Mbona hujawasema ERB kwa majina yao Binafsi ili wawajibike. HIVI UNAJUA majukumu ya hizo Taasisi? HIVI unafahamu ninani anatoa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Kiranga, ndo maana kumbe umekazania kueleza vitu visivyoeleweka vizuri, kumbe ni hasira za kubeba mabox. Kama kifaa si urudi uombe kazi bongo na kama ni mzuri utanyimwaje hata kwenye private sector. Unaisaidia nini tanzania wewe zaidi ya kushinda kulalamika kwenye mitandao. ndo maana upo nje...
Back
Top Bottom