Recent content by Kubwajinga

  1. Kubwajinga

    Shamba la bibi

    Kwahiyo unamaanisha kuwa Mama hawajibiki na mapungufu yoyote ya kwenye awamu yake kwa sababu hayuko directly involved? Ushamba una ubaya gani kama uko effective kutatua matatizo na kujenga uwajibikaji? Mbona nchi zilizo mbele kidemokrasia wanatajana magazetini, redioni na kwenye TV? Kufoka ni...
  2. Kubwajinga

    Shamba la bibi

    Ukitaka kurahisisha, then utawalaumu tu wale walioitwa stupid. Lakini ukitaka kuwa mkweli na muona mbali, then utaangalia ruzuku kwa vyama pinzani waliyofikia makubaliano na kulipwa kimya kimya, kuwa nayo ni aina ya rushwa ya kuwalainisha.
  3. Kubwajinga

    Shamba la bibi

    Za miaka ni njema kabisaa ila wasiwasi unaanza kutuingia kwamba tunaweza kuwa tunaanza kurudi nyuma.
  4. Kubwajinga

    Shamba la bibi

    Nakubaliana na wewe Mkandara 100% kuwa nchi sasa ni SHAMBA LA BIBI. Nionavyo mimi msemo wa UREFU WA KAMBA ni sawa na ule wa TAKHRIMA wa enzi ya Kikwete. Tusipoangalia tunaweza tukarudi kama ilivyokuwa kabla ya 2015 na nchi kupoteza matrilioni badala ya kutumika kujengea nchi.😢😭😭😭
  5. Kubwajinga

    Bomani Committee hiding the truth?

    Hii sheria ya madini bado night mbaya kwa kuwa ilishindwa kufuata maadhimio mengi ya kamati ya Bomani. Kwa mfano, haiondoi usiri wa mikataba ya maďini pamoja na malipo kwa serikali.
  6. Kubwajinga

    Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    CHADEMA sasa kimegeuka kuwa chama cha WAUZA UNGA na MAFISADI PAPA. Inabidi Manji na yeye ahamie huko.
  7. Kubwajinga

    Nafasi ya Katibu mkuu wa CHADEMA inatakiwa ijazwe Miezi isiozidi Mitatu tangu iwe wazi

    [/B][/SIZE][/COLOR] CHADEMA Katiba Yake na Sera Yake Ni Matamshi Ya Mbowe. Hukuliona Katiba Ikifuatwa Kumuingiza na Kumpa Fisadi Papa Lowassa Ugombea Uraisi Bila Kupingwa? Haya anza kuvingirisha mikono kuonyesha kuwa na wewe ni Zezeta.:lock1::crazy::peace::clap2::der:
  8. Kubwajinga

    Mbowe kukamatwa kwa ufisadi

    Wana CDM Kweli ni Mataahira, Hata Mbowe Akijinyea Wakamuona kwa Macho Yao, Wao Bado Watasema Kajamba tu. Yanayosemwa Sio tena porojo za mitandaoni, ni gazeti lililosajiliwa limeyaandika, kwa nini Mbowe asiyakanushe au kwenda mahakamani kama sio ya kweli?
  9. Kubwajinga

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Lowassa si ndiye kibosi wa CDM mnayemviringishia mikono au wewe umeshamsusa?
  10. Kubwajinga

    Edwin Mtei: Rais Magufuli asiige kila kitu kutoka kwa Nyerere

    :poa:poa :smash: :second: :closed_2: :drum:
  11. Kubwajinga

    Edwin Mtei: Rais Magufuli asiige kila kitu kutoka kwa Nyerere

    Joka, Mimi sijui lisemwalo ni kweli au la, bali huu ndio muono wangu, Edwin Mtei Kuondoka u-Gavana 1979 haina maana kuwa yeye hawezekani kuwa aliichoma BoT. Edwin Mtei kama Gavana wa muda mrefu, bado alikuwa na watu wake ndani ya benki. Pesa aliyo-nayo Mtei, ina-walakini kama ile ya Lowassa...
  12. Kubwajinga

    CHADEMA Tarime wavurugwa na Mbowe

    Waberoya, Hao wapo wengi ...wa aina hiyo. Wamedanganywa na Mbowe wakadanganyika na kupumbazwa sasa wamegeuka kuwa mazezeta-taahira. Hao ndio waliokuwa wanaviringisha mikono eti fisadi Lowassa ni mabadiliko na bado leo hii wataenda kumpokea fisadi wao akijitokeza.
  13. Kubwajinga

    Raisi John Pombe Magufuli, leo umetimiza siku 43 toka uapishwe, Mag3 nimekaa kimya!

    Mag3, Mbona hukusubiri kumuangalia kwa undani Lowassa kabla ya kumpigia kura? Bado mimi nashangazwa na baadhi ya waTZ wenzangu ambao wanaonekana ni werevu lakini walikbali kurubuniwa kirahisi na mtu, Lowassa, ambaye wote tulishakubaliana hapo awali kuwa ndiye fisadi mkuu na labda jangili...
  14. Kubwajinga

    Kwanini ni aibu sana kuishabikia CHADEMA siku hizi?

    ID haitabadilika mpaka Lowaasa (Kubwajinga) atakapotinga jela.
  15. Kubwajinga

    Tuliomkataa Lowassa, Makuwadi wa Mabadiliko "Yale" na Waliojipanga Nyuma Kosa Letu Nini?

    MM, Mbona unawapigia gitaa Mbuzi? Wenzako wamelewa pombe ya u-Lowassa kama vile na wewe ulivyokuwa umelewa u-Mbowe. Kumbuka miondo 2007 - 2014, nilikuambia kuwa tatizo la CHADEMA ni Mbowe. Lakini wewe ukaendelea kumtetea kwenye madudu yake kila wakati, k.m. kwenye issues za marehemu Wangwe...
Back
Top Bottom