Recent content by KUBOZA JUMA

  1. KUBOZA JUMA

    JamiiForums NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nataka kujuwa mkopo wa ml5 rejesho kwa mwezi shilingi ngapi?
  2. KUBOZA JUMA

    JamiiForums Natafuta mdau wa kufanya naye biashara ya samaki aina ya sato fresh mikoani

    Duh! Huku inatugharimu elfu 7500 kwa kg hadi kuufikisha mzigo huko,hivyo ni kuagalia sasa namna ya kufanya
  3. KUBOZA JUMA

    JamiiForums Natafuta mdau wa kufanya naye biashara ya samaki aina ya sato fresh mikoani

    Huwa tunatuma mizigo siku ya jumatano kwenye fuso zinazotoka musoma,hivyo makubaliano yakiwepo tunapeana namna ya kuupokea mzigo
  4. KUBOZA JUMA

    JamiiForums Natafuta mdau wa kufanya naye biashara ya samaki aina ya sato fresh mikoani

    Wakuu habarini za majukumu, napatikana mkoa wa mara huwa najishughulisha na shughuli ya ununuzi wa samaki wa kugandisha kwa freezing, hivyo niko na uhaba wa wateja /wahitaji, kama kuna mwenye butcher la samaki tufanye biashara. Kwa mawasiliano no: 0766434590 Asante.
  5. KUBOZA JUMA

    JamiiForums Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Wakuu habarini za majukumu,natafuta soko la kuuza samaki aina ya sato fresh,napatikana mkoa wa Mara, ila sijapata mteja hivyo kama kuna mdau/ mhitaji aliyeko huko mikoani tuwasiliane tufanye biashara,no:0766434590, Asante,
Back
Top Bottom