Na hawa wa Pemba walioko mitaani,maofisini na vyuoni wasijione wako salama kwa yaliyotokea maana tuna uchugu nao kwa lililofanya jeshi la Kmkm kwa amri ya Abduli nao ni mda tu tutadili nao
Tunataka tuwafurushe Abdul na Mama yake,bila kumsahau Hamza johari aliyeuza rasilimari zetu ,mnajimu wa jeshi,mtuachie Tanganyika yetu hao wengine viongozi wa Tanzania tutadili nao baada ya kupata uhuru
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama wewe ni Mtanganyika ni wajibu wako kuikomboa inchi yako, hata kama chawa, haya unayoyaona utakuja kuyalipia baada ya Tanganyika kukombolewa, maana saa hizi tunatawalia na familia ya Samia Suluhu na baadhi ya Viongozi walioko Serikalini wakiongozwa na...
Tuache kulalamika inatubidi sasa kuikomboa Tanganyika yetu tena kuanzia kule Mbeya na tulia Aksoni naamini tukiungana wote kisawasawa huyu Mama hatoboi,kuliko kusubiria mpaka afe
Ingawa walimkata akiwa na afya nzuri kabisa,hawa ndiyo wangekuwa Viongozi wetu lakini wanaishia kuwekwa mahabusu huku mama Abdul na mwanaye wanaouza inchi wakiwa ikulu kwa wizi wa kula
Yaani sijui CCM ilijiamini vipi kufanya hayo iliyofanya, maana imejichafulia ndani ya inchi mpaka nje, hata yale yaliyokuwa yamefunikwa huko nyuma hatimaye yametoka hadharani.
Lakini ukiangalia kwa jicho la kawaida inaonekana kama yalikuwa maamuzi ya mtu mmoja mwenye ndiye aliyeyapanga haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.