Recent content by Kuboja A

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma SAUT MWANZA (main campus) tukutane hapa

    Fr Maziku,papaa Mulongo,sir Kiura,Munyao,Nassib(mzee wa roho mbaya),Omutiti na Njura(Rest in peace)
  2. K

    JamiiForums Tanzania Yajue Maisha yalivyo jela

    Mie nilikwenda leo kumsalimia shemeji yangu yupo mahabusu gereza la butimba,mwaka sasa,si sehemu nzuri,nimeshinda na huzuni siku nzima.Mungu atuepushie.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Monday hiyo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hali ninayokutana nayo katika Biashara inatisha nimefunga biashara 3 nimebakiza moja inayopumulia mipira, Msaada wa kiroho unahitajika

    Nicheck pm ndugu,kuna mtu yupo Mwanza kwa sasa ila makazi yake ni Dodoma nina imani atakusaidia.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu jambo hili

    Habari ndugu zangu?, Naomba mnisaidie ushauri maana nina jambo gumu hapa. Mimi ni mtumishi, nilipata shida ya kifedha nikamtafuta mdada mmoja akaniazimia pesa kwa mtu laki mbili na nusu, nilitakiwa kurudisha kwa riba. Nilimrudisha riba mara mbili baada ya hapo mambo yakagoma kabisa, yule Dada...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Nimekupm ndugu haujanijib
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mitihani ya Carry over

    Haisumbui hata,peleka barua kwa dean of faculty ya kuomba ku carry over course zako,then atakupa barua uende kwa It ili akurudishe kwenye system afu unaenda kulipia,hapo ndo unakua rasmi,tena komaa umalize hivyo vimeo this year ukichelewa results zinafutwa zote.
  8. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae aje Mwanza mjini mi niende Mpwapwa Dodoma idara elimu ya msingi.Mawasiliano 0754350974
Back
Top Bottom