Kuna vitu ukiviondoa kwenye list ya mambo ya muungano, huu muungano unakuwa either unapoteza taswira yake halisi au unageuka kutu na kuanza kula upande mmoja.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yani nimeshindwa kuelewa unalenga nini, inavyoonekana huna subira kabisa na unaamini biashara lazima iwe na mtaji mkubwa ndo iitwe biashara, mimi nipo tofauti kidogo na wewe. Biashara inahitaji soko, ninaweza kuwa na bidhaa zenye thamani ya mil 1 na zikawa zinaenda harakaharaka na unaweza kuwa...
Mzee sikubali, nimemaliza chuo mwaka jana, sikuangaika kusaka ajira. Nilikua na million 2 mfukoni nikaanzisha ka duka kangu. Nilichokifanya ni kujibana katika plan yaangu. Laki moja bakara tena moja la kuanzia, laki mbili nikanunua til za mpesa na airtel money, elfu arobaini na tano kodi miezi...
Ndiyo, inahitajika. Ila hapa kuna mawili, moja ni kama leseni yako ni ya whole sales lazima uwe nayo ila kama ulikata ya retail alafu unauza na jumla(ambayo pia ni makosa kisheria na ni uhujumu uchumi) hauwezi kuwa nayo. In short, kama unahitaji kuwa salama ni vema ukauza kulingana na matakwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.