Nchi ya Tanzania imegeuka kuwa;_
jamuhuri ya muungano wa utekaji, mauaji, tunanyiwa freedom of speech, tunaongozwa na katiba ya mkoloni, tunaongozwa na wakuu wa mikoa, wabunge, na mawaziri vijana wanaojifanya wanajua wasio na hekima na busara.
Nini mtazamo wako kwa Tanzania ya sasa...