Haya Bhana!! WATANZANIA Now Twatukanwa Na Hata Mahouseboy /Girl Wa Viongozi Wa Nchi Hii!!! Ila Hatuna Kilicho Na Mwanzo Kikakosa Mwisho!! Reference Zanzibar Now, Mwisho UMEFIKA!!!
Mkuu Wa Shule Amefuta Matokeo Ya MTIHANI Kwa Vile Mtt Wake Amefeli MTIHANI!!! Baada KUSHINDWA Kumpatia Mtt Wake MAJIBU Au Nafasi Ya Kupiga Chabo!! SWALI Je, Ingekuwa Amefeli Mwanafunzi MWINGINE Kati Ya WALIOFANYA MTIHANI Na Mtt Wa Mkuu Wa Shule, Angeamuru MATOKEO Ya MTIHANI Yafutwe!!!!??? Somo...
ACHENI Ushoga Humu!! Kwani Sheria Ya ZEC Na KATIBA Ya Zanzibar Ya 1984!! Ndio Zinavyosema Kuwa MGOMBEA Akijitangaza Ameshinda UCHAGUZI, Basi ZEC Ni Kufuta MATOKEO Ya UCHAGUZI!!!!!?? KAMA Sheria Za UCHAGUZI, ZEC Na KATIBA INATAMKA HIVYO, Mtuambie Ni Vifungu Vipi!!!!?? KAMA Hicho Hakipo, Basi...
Mkuu Wa Shule Hawezi Kufuta MATOKEO Ya MTIHANI Ambao Umeshafanyika, Umeshasahihishwa, MATOKEO Yamebandikwa Notice Board Na Msimamizi Wa MTIHANI Ameshatangaza Karibia 54% Ya MATOKEO Hayo!!! Eti Mkuu Wa Shule Aje Kuamuru MATOKEO YOTE Yafutwe, Kisa Mtt Wake Amefeli, Na KUTAKA MTIHANI Ufanywe...
Kituo Cha Kuipigia Hizo KURA Kiwe Pale Kisiwa Ndui Na Usimamiwe Na Kificho!!!! PUMBAVUU! ETI Kwa Vile Mtt Wa Mkuu Wa Shule Amefeli MTIHANI, Basi Mkuu Wa Shule Afute MATOKEO Ya MTIHANI HUO Na Aje Kulazimisha MTIHANI Ufanyike Upya!!!??? Hata Kama Aliona Mtt Wake AMESHINDWA Kupiga Chabo Na Kumpatia...
Ndio Mmeanza Propaganda Zenu Mlizozitumia Huku Tanganyika Na Sasa Mnajaribu Kuzipeleka Zenji!! Kama Hicho Mnachosema Ni UKWELI, Vyombo Vya Ulinzi Na Usalama, Vile Vile Ambavyo Uwa Vinawalinda Viongozi Wenu Pindi Wakitangazwa Washindi Hata Waliposhindwa!!! Eti Leo Ndio KUMEKUWA Na Tishio La...
Hivi Hayo Maneno Ya Uchochezi Na Chuki Kiasi Hiki Yanatoka Wapi!!?? Jmn Kuna Maisha Yanaendelea Baada Ya CHAGUZI!! Maalim Kama Ameshinda Apewe KITI CHAKE, Kama Ilivyokuwa Kwa Magufuli!! Historia Ya CHAGUZI Za Miaka Ya Huko Nyuma Watanganyika Na Wazanzibar Wanaijua Vizuri Saana!!!
Sijui Ni Uwezo Wangu Wa KUELEWA Umeisha!! Au Nini!! SIJAKUSOMA Kabisaa!! Mara Unaingia Ktk. Jakuzi Unaoga Mara Unaingia Ktk. Ghala La Saruji!!! Mara Unarudi Ktk Jakuzi Tena!! HIVI Kama Dkt. Slaa Na Prof. Lipumba Wasingekuwepo Au Wamekufa, Na CHAMA Au VYAMA Vingekuwa VIMEKUFA!!!!? Kwani Kabla Ya...
Kwani Kabla Ya Uchaguzi Upinzani Walikuwa Na Wabunge Wangapi BUNGENI!!!!!?? Wabunge Wenyewe Ndio Hawa Wa Aina Ya Huyu Wa Mbagala!! Ambaye Badala Ya KUTANGAZWA Na Msimamizi Wa UCHAGUZI, Kilichotokea Ni Kubandikwa MATOKEO Ubaoni Usiku!!!!! Wako WENGI Wa MAGUMASHI Tu!!!!!
ACHENI UJUHA!! Si Alikuwa MWANACHAMA Wa CCM Huyo!!?? Je, ALIPOKUWA Ndani Ya CCM Alikuwa Hawamjui Au Hawamuoni?? Kwanza Kwa KUWAAMBIA WATANZANIA Wanataka KATIBA MPYA Iliyotokana Na MAONI Ya WANANCHI!!! Nani Anayeukubali Msamiati Ndani Ya CCM!!??
Napata Shida Kumuelewa Huyu Dada!! Maana Akili Zake Zimeoza Kabisaa!!!! Eti Wazanzibar Wamemuadhibu!!! Hivi Ww Ni Mtanzania Gani Ambaye Hajui Kilichotokea Zenji!!!!?? UCHAGUZI Umefanyika, Kura Zimehesabiwa Na Majumuisho Na Kubandikwa VITUONI Na KUTANGAZWA Tena Majimbo 31 Kati Ya Majimbo 54...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.