Kwa wale wanaohitaji kuuza magari yao kwa sababu zozote zile na wale wanaotaka kununua magari (second hand) Tuwasiliane kwa number 0713632706 Ofisi zetu zipo Kinondoni B,Ikugi street PLOT 24/25.
Mkuu bank wanahitaji dhamana ya nyumba na mimi sipo vizuri,pia kuna bank zingine kama access bank wakaniambia lazima uwe na stock kwanza ndipo waje watathimini na biashara iwe na miezi sita na kuendelea.Customers nimepata na naweza pata zaidi na zaidi.Ninauzoefu nimewahi kuwa procurement...
Ndugu zangu wapendwa nimeweza kuanzisha biashara ya spare parts za magari makubwa na madogo Nina ofisi Kinondoni B.lakini sina stock yeyote natafuta wateja na kusupply.Na nina wateja ambayo ni makampuni makubwa sana ila kuna kitu nimekwama wanahitaji nikubali payment term ya 30 days credit...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.