BIASHARA/SOKO LA CIRCUITS ZA SIMU

ze meck

Member
Feb 18, 2014
36
6
Hii biashara nimeifanya Mara moja wakati huo niliuza kwa 20000 per kg..ila nahisi kuna soko zuri lenye bei nzuri hapa Tanzania au east Africa.

Naomba msaada wa yeyote anafahamu soko zuri la hizi bidhaa
17529a5fb3a8cbec4c77e65c01c102c7.jpg
 
Back
Top Bottom