Recent content by KSJ Phone FastFixing

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vijana 5 waliopotea Kariakoo walipatikana? Mbona hatukupewa mrejesho wa tukio hili?

    Wazazi hawajui mpaka hivi sasa wala jamaa na marafiki hawajui kwa maana walivyo chukuliwa tu walizima Simu zao mpaka hivi sasa, chama cha mafundi PPT Kariakoo kimefanya jitahada kuwatafuta pia hukuna taarifa njema yoyote. Kwa sasa tume muachia mungu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Vijana 5 waliopotea Kariakoo walipatikana? Mbona hatukupewa mrejesho wa tukio hili?

    Hao wote walikua madalali wa Simu, ilikua 2021 haija bainika kwamba walichukulia kwa kosa gani.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vijana 5 waliopotea Kariakoo walipatikana? Mbona hatukupewa mrejesho wa tukio hili?

    Kwa kweli ina uma sana kipindi ambacho mtu mna mtegemea kuchukuliwa kwenye mazingira kama Yale kama pale Mtaa ya Shule ya Uhuru kungekua na CCTV kamera basi kila kitu kinge julikana ni wakina nani walikua wame wachukua
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vijana 5 waliopotea Kariakoo walipatikana? Mbona hatukupewa mrejesho wa tukio hili?

    Kwa kweli mpaka hivi leo hakuna taarifa ya wao kupatikana popote pale
  5. K

    JamiiForums Tanzania Vijana 5 waliopotea Kariakoo walipatikana? Mbona hatukupewa mrejesho wa tukio hili?

    Wali chukulia siku ya jumapili SAA 11 Jioni Mataa ya Uhuru na msimbazi baada ya kutoka katika mihangaiko yao ilikua tuna karibia kumaliza mwaka tarehe 26 mwezi wa 12 kwa kweli nilipata taarifa SAA iyo iyo baada ya wao kuchukulia.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Habari, pole sana kaka kuna mama yupo Dar es salaam Kariakoo naomba uwasiliane nae kisha kama ata kwambia uende au vipi, endapo akisema muonane basis beba vipimo vyote mlivyo Pima hospital. Naamini mwenyezi mungu ata msaidia mke wako ukisha anza tiba kwa huyo mama. 0754418972
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Redmi Note 5A laki 280000/= MIUI 9 Android v7.1.1 (Nougat) Storage 32GB Chipset Qualcomm Snapdragon 435 MSM8940 Ram 3 GB Camera 13 MP Nipigie +255713089699 kama una hitaji
  8. K

    JamiiForums Tanzania IPHONE Network Unlock Habari Njema..

    Bei ina tegemea na aina ya simu. kuanzia 50000/= Aina zote za Smartphone Tuna toa Network lock Samsung Alcatel Sony Huawei BlackBerry Zte Vodafone Iphone Htc Kyocera Lg
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Kwa wale weny Mi Phone wana hitaji Play Store, Globar Rom ata uki Factory reset ina kuwepo kichina chote kina ondoka wasiliana nami +255713089699 ksjphonefastfixing@gmail.com Right Solution At Right Time Mi redmi 3 Mi redmi 3s Mi redmi note 3 Mi redmi note 4 Mi note lte Mi redmi 5 Mi redmi 5x Mi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania IPHONE Network Unlock Habari Njema..

    Habari! Tume waletea huduma bora ya ku Unlock Iphone Yako bila kuweka GEVEY ili kuweza kutumia laini kama kawaida Gharama ni nafuu.. Iphone 5,6+,7+,X Muda wa ku Unlock Dakika 20,15 Fika Ofisini kwetu au wasiliana nasi kwa namba za simu Kariakoo/Aggrey Street/Likoma ksjphonefastfixing@gmail.com...
Back
Top Bottom