Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

  • Thread starter Kilangi masanja
  • Start date

Kilangi masanja

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
1,320
Likes
481
Points
180
Kilangi masanja

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
1,320 481 180
Hello wanajukwaa natumia hili pendwa natumaini mu wazima.

Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI
 
Mediocrist

Mediocrist

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Messages
1,641
Likes
608
Points
280
Mediocrist

Mediocrist

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2015
1,641 608 280
Unatumia earphone za type c,na nafkiri inakuja na adapter ya type c kwenda 3.5mm jack.
xiaomi-mi-a2-pros-and-cons-3_13c0a154b16efeb654b83871f87e8910_935adec67b324b146ff212ec4c69054f.jpg


Kuhusu camera hata ya note 5 pro sio kwamba ni mbaya, ni nzuri pia sema tu A2 ni nzuri zaidi.

Vitu vyengine ni kwamba
-A2 haina memory card ila internal ni kubwa kuna 128gb na 64gb internal.
-pia naona site nyingi wanasema display yake sio nzuri kwenye mwanga mkali wa jua.
Muonekano wa note 5 pro naona wa kizamani hivi.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,301
Likes
9,077
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,301 9,077 280
alaa kumbe zipo mbili? Hivi hiyo ya chini ndo zile zenye processor za atom eh?
Aisee halafu kuna siku niliuliza kuhusu kubi tablets
Hapana zote ni snapdragon. Intel ameshasitisha Atom kwenye simu.

Unaweza ku link huo uzi?
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,301
Likes
9,077
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,301 9,077 280
Ahsanteh mkuu na android one hii imepata updates hii note 5 pro.
Note 5 pro ina Miui update zake zinatoka kwa Xiaomi ila simu za Android one update zake zinatoka kwa google.
 
D

Dimma

Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
60
Likes
56
Points
25
D

Dimma

Member
Joined Aug 15, 2017
60 56 25
Mkuu Chief-Mkwawa , I am deeply interested with Xiaomi Redmi Note 4.

Gharama zipoje mpaka inifikie mkononi? kama nanunua online Alibaba ama Aliexpress. Utaratibu upoje kwa upande wako? Ahsante
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,301
Likes
9,077
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,301 9,077 280
Kwa maana haipati hiyo updates mkuu kupitia hiyo MIUI.
Itapata ila updates za miui ama android yoyote ile ambayo haitoki kwa google zinachelewa compare na android ya google. Mfano sasa hivi majority ya simu za android one zimeshapata updates ya android 9. Pia unakuwa una uhakika na updates za security za kila.mwezi toka Google wenyewe.

Ila hapa ni preference yako mwenyewe. Sio lazima kutumia android one, wengine wanapenda miui na features zake.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,301
Likes
9,077
Points
280
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,301 9,077 280

Forum statistics

Threads 1,236,520
Members 475,174
Posts 29,260,558